TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

I saw the very first reports zilisema the boy was with Davido.
.
He was playing in the pool and throwing his legs to swim just next to davido.
.
I guess he stood up or something these celebs are always on calls.
 
Watu tisa ndani ya nyumba na bado mtoto anazama kwenye swimming pool,haki hichi kifo kina walakini.Ngoja tusubiri hiyo report ya kifo kama itawekwa hadharani na Polisi.Ila hamna watu wanaongoza kwa kutoa makafara kama Wanaijeria nimefika kwao nimeishi nao kwa mda aisee ni balaa zito.Nashangaa hawa wanaobisha kwa ufupi tu jaribuni kugoogle voodoo mjionee hii ni mojawapo ya ndumba maarufu.Tufiakwa
Wwe utakua umeathirika no movie za kichawi za Nigeria!!
 
Na meza za vioo,hasa coffee table.
Hata bathtub ni hatari pia. Niliweka bathtub tena nilinunua duka fulani kwa kuweka hela kwa awamu. Lilivyofungwa sikuwepo na mke wangu so tulivyorudi yaani nikafungulia maji yalipojaa nikaset yale marangirangi ile nimegusa kutest joto nilipigwa na shot moja kali sana.

Ikabidi nimtafute fundi kutoka duka niliponunua aweke sawa mambo ya umeme. toka siku hiyo nikiingia kuoga lazima umeme uwe off.

Naliogopa mno yaani naona kama naishi na kifo. Ile shot ilikuwa sio ya dunia hii
 
Ila Watanzania tukumbuke kua,njia za kufa ziko nyingi sana,lakini kuna njia mbili tu za kuishi,nazo ni to live reach or to live poor!!
 
Hata usingizi unauwa pia, kuna watu kibao waliaga wanaenda kulala lakini hawakuamka tena!!
 
I saw the very first reports zilisema the boy was with Davido.
.
He was playing in the pool and throwing his legs to swim just next to davido.
.
I guess he stood up or something these celebs are always on calls.
Kwahiyo kumbe Davido alikuwa nae?
 
I saw the very first reports zilisema the boy was with Davido.
.
He was playing in the pool and throwing his legs to swim just next to davido.
.
I guess he stood up or something these celebs are always on calls.
Daa basi kama ni hivi hili litamuumiza sana maishani mwake

Simu zimekuwa too much sasa
Yaani tumefanya kama hatuwezi kuishi hata dakika 10 bila kuangalia
 
Muda wa mavuno huu
Screenshot_20230427-175932_Instagram.jpg
 
Watanzania ni waoga sana wa kuongea ukweli....mtoto wa kwanza tena wa kiume halafu anakufa katika mazingira rahisi kama hayo ...definitely hiyo ni kafara kwa devil woshippers.umaarufu na kafara ni perpendicular line
BTW:sio kila maarufu ni devil woshipper
 
Back
Top Bottom