TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Now chioma ndo atapata akili alikua msumbufu sana kisingizio mtoto
 
  • Thanks
Reactions: Luv
FUTA HII HABARI SIO YA KWELI
Screenshot_20221101-073112.png
 
Hakuna kitu sipendi kwenye nyumba kama swimming pool nikienda nyumba yoyote na watoto kuna swimming pool nakosa amani kabisa nimeshuhudia kwa macho mtoto akitaka kuzama wa miaka 5 japo tulimuwahi kumtoa lakini kila nikikumbuka lile tukio nakosa amani kabisa ndio maana najisikia vibaya kwa family yoyote waliyowahi kupoteza mtu kwenye hali hii. Mimi nyumba ya swimming kama kituo cha police, family nyingi zimepitia hii hali ni hatari sana. Nawashauri wazazi msikubali watoto zenu kuingia humo mimi hata kama najuwa mtoto anajuwa kuogelea lakini akiingia katika maji sina amani. RIP
 
Davido Amempoteza Mtoto Wake Wa Kiume #IfeanyiAdeleke Mwenye Umri Wa Miaka Mitatu 3 (Pichani).
1667279851111.jpg


Kwa Mujibu Wa Ripoti Mbalimbali Ifeanyi Amefariki Kwa Kuzama Kwenye Swimming Pool Siku Chache Baada Ya Birthday Yake Oktoba 20. Amefariki Jumatatu Oktoba 31

Davido Na Chioma Walibarikiwa Kumpata Mtoto Wao Huyu oktoba 20, 2019.

1667279827278.jpg


Wazazi na walezi kuna jambo la kujifunza hapo.

---

Mtoto wa mwanamuziki Davido Adeleke na mpenzi wake Chioma Rowland, Ifeanyi Adeleke (3) amefariki dunia baada ya kuzama kwenye bwawa la kuogelea ‘Swimming Pool’ nyumbani kwao.

Vyombo mbalimbali vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa mtoto huyo alifariki jana Jumatatu Oktoba 31, 2022.

Taarifa zinasema Ifeanyi alizama kwenye maji kwa muda mrefu kabla ya wazazi wake hawajagundua kutoweka kwa mtoto wao na baadaye walikuta akielea kwenye maji.

Davido anakuwa msanii wapili nchini humo kumpoteza mtoto kwa kuzama kwenye maji, kwani mwaka 2018 moto wa msanii D’Banj naye alipoteza maisha katika tukio kama hilo.
 
Sisi watu wa hali ya chini huwa hata madimbwi tu ya maji huwa tunayafukia kwa kuogopa athari za namna hii,inakuwaje watu wenye mapesa wanashindwa kuchukua tahadhari ya ma swimming pool ambayo yanakuwa na maji kila wakati,na wanajua kabisa kuwa kuna watoto wadogo...?
 
Back
Top Bottom