TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Nasubiri tamko kutoka kwa wazazi wa mtoto
 
Mbona inasemekana katoto kapo ICU Jamani..mna uhakika na mnachokileta hapa?
 
Davido Amempoteza Mtoto Wake Wa Kike #IfeanyiAdeleke Mwenye Umri Wa Miaka Mitatu 3 (Pichani).View attachment 2403611. Kwa Mujibu Wa Ripoti Mbalimbali Ifeanyi Amefariki Kwa Kuzama Kwenye Swimming Pool Siku Chache Baada Ya Birthday Yake Oktoba 20. Amefariki Jumatatu Oktoba 31

Davido Na Chioma Walibarikiwa Kumpata Mtoto Wao Huyu oktoba 20, 2019.

View attachment 2403612

Wazazi na walezi kuna jambo la kujifunza hapo.
Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
Dibanj mtoto wake alifariki na Swimming Pool

Davido nae mtoto wake amefariki na Swimming Pool

Swali la kujiuliza ni hili 👇

Kuna nini kwenye Swimming Pool kinachopelekea vifo vya watoto hao?

JIBU: Kuna Maji Mengi

Usisahau umezaliwa ukiwa na uoga vitu viwili tu

1. Uoga wa Sauti kubwa
2. Uoga wa Kuanguka

Haujazaliwa na uoga wa kufa maana ukifa utazaliwa tena upya..

Asante kwa kuisoma comment hii
 
Davido Amempoteza Mtoto Wake Wa Kike #IfeanyiAdeleke Mwenye Umri Wa Miaka Mitatu 3 (Pichani).View attachment 2403611. Kwa Mujibu Wa Ripoti Mbalimbali Ifeanyi Amefariki Kwa Kuzama Kwenye Swimming Pool Siku Chache Baada Ya Birthday Yake Oktoba 20. Amefariki Jumatatu Oktoba 31

Davido Na Chioma Walibarikiwa Kumpata Mtoto Wao Huyu oktoba 20, 2019.

View attachment 2403612

Wazazi na walezi kuna jambo la kujifunza hapo.
Wewe rekebisha hapo juu huyu ni mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom