TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Kutokana na umaarufu wa nchi yao kwenye ndumba nina hakika hili litahusishwa na uchawi pia, kuwa kamtoa sadaka.
Pole nyingi kwake na familia yake.
kweli ila tunatakiwa kubadilika sasa sio kila tukio tusem ni la ushirikina kuna mtu tukubali ni mipang ya mungu tu
 
Hichi ni kifo kilicho sababishwa na wazazi wa mtoto kamwe huu si mpango wa Mungu! Uzembe wa wazazi umeua mtoto
 
Kwanini tusitafsiri kuwa ni mipang ya mungu tu . kwanini kila kitu tutafsiri katika ubaya kwani ukiwa na kipato wewe ni muabudu shetan
Kwa hiyo Mungu ndo kamuua dogo ili Davido, mke wake, familia, ndugu na jamaa na marafiki wahuzunike walie na wahuzunike kwa uchungu?

Kwa hiyo saivi Mungu kashafanya yake anawaangalia tu wanavyolia kwa uchungu wafiwa?

Kwa hiyo kwa sasa tusimlaumu aliyejenga swimming pool tuhamishie lawama kwa Mungu?

Sijui kwa nini Mungu anaonewa hivi asee?
 
Washamla dogo tayari,wamemtoa wao wenyewe mazee.
Davido ana chama lake hilo linajiita "UNDER THE MANGO TREE" wazee wa pesa chafu wazee wa kutupiana pesa.
Ogopa sana matajiri warusha pesa angani.
Waabudu shetani hao lazima wamtolee Mungu wao.
Kina cubanachiefpriest,emoney,dbhanji na wengine.
Pesa nyingi ipo kwa ajili ya watu wachache wakuu wenye roho ngumu na wasio na huruma.
#Kafara hiyo
 
Back
Top Bottom