TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

USA: And according to the U.S. Consumer Product Safety Commission, 390 deaths a year on average are attributed to drowning in a swimming pool or at a spa.

Swimming pools ni hatari sana kwa watoto majumbani.
ni hatari kwa 100% just imagine watoto wanavyopend kuchezea maji. alafu umemuache peke yake mbele ya swimming pool
 
Sisi watu wa hali ya chini huwa hata madimbwi tu ya maji huwa tunayafukia kwa kuogopa athari za namna hii,inakuwaje watu wenye mapesa wanashindwa kuchukua tahadhari ya ma swimming pool ambayo yanakuwa na maji kila wakati,na wanajua kabisa kuwa kuna watoto wadogo...?
Mwenye Hela sio mwenzako Aisee
 
Wasichokijua watu

Davido kabla ya kifo cha Ifeanyi alikua ana watoto wanne na kila mtoto ana mama yake, kwa sasa atakua na watoto watatu tu isipokua kwa mpenzi wake wa sasa Chioma ambae amempoteza mtoto wake huyu Ifeanyi

R.I.P Little angel, gone too soon
 
Utakuta wazazi walikua busy wanakunywa mapombe, mabangi na ma cocaine wamemuacha mtoto hata hawajui yuko wapi..😪 Hii mi wasanii ni miwatu ya hovyo kote duniani sijui hata kwanini hua tunailipa hela nyingi kiasi hicho😡
Tusiwalaumu sana nao ni binadamu vile vile alafu tuje na mawazo kuwa ni mipango ya mungu hata wangemfunga mnyororo kama aliandikiwa kufa kwa maji basi angkufa kwa maji tu.

cha kujifunza ni kuwa waangalifu na watoto basi . nadhani lawama hazibadilishi kitu na wala mtoto harudi kuwa hai kwa kumpa mtu lawama
 
Back
Top Bottom