Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna mzee nilienda kwake he's rich kutoka Burkina Faso ana swimming pool lake akimaliza kuogelea analifunga na juu anaweka Meza na viti watu wanakunywa na kustarehe na huwezi kujua kama ni indoor swimming pool na hana watotoKuna yale madude ya kufunika swm pool inakuwaje wanaacha wazi na kuna watoto
Sijui wengine wanafeli wapi huku wakijua wana mtoto mdogo ambae hawawezi kumuangalia kila wakati
Ukisoma Habari zao wanasema mtoto alikuwa humo kwa mda mrefu