Pre GE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

Pre GE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uwekezaji umeanza kwenye hiyo familia, kama vile familia nyingine za wanasiasa zilivyowekeza huku wengine tunaishia kuitwa wapiga kura, ambao hata hizo kura zetu zenyewe haziheshimiwi.
 
Ni mwanae, anamfunza anavyoona inafaa. Ila strategy za jamaa huwaga sizielewi. Naona kama zimekaa kubackfire-backfire hivi. Kama ile ya kuchora kwenye mawe nchi nzima.
 
Ipo hivi! Mweshimiwa angekuwa JAMBAZI! asingetaka Mtoto wake afate nyao zake!!! Ata wewe mtoa mada lete mwanao🙏✌️. Mtoto amelelewa na ana makando kando! Acha chuki! Mungu amkuzie na amu wezeshe baby Boy awe kipenzi chake Mungu na Binadamu na Husuda za Binadamu zisimpate Kada wetu!🙏
 
Hili jambo sidhani kama ni sawa mtoto anapaswa awe darasani huko anajifunza namna ya kutatua changamoto za jamii inayomzunguka kupitia uvumbuzi wa kisayansi sio kuongea vitu ambavyo yeye mwenyewe hajui kwa nini anaongea.
 
Back
Top Bottom