Pre GE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shenzi kweli limadelu eti linajifanya linamuangalia kijana wake kimacho kumchuzi ,huku limeziba mdomo kumbe linapiga hesabu za mbali sanaaa.
 
Waendesha guta muanze kuwafundisha wa kwenu kusukuma guta mapema pia
 
Ch
Child labor au ajira za watoto hizo

Serikali iingilie kati huyo mtoto analazimishwa na mzazi kuchukua career kabla ya age of maturity

Huyo aachwe asome

Aweza kuwa Isaack Newton au Billy Gates au Dangote mbeleni

Umri huo sio wa kumwingiza mtoto kwenye siasa siasa haziko constant
Legacy hubadolika aweza fika enzi zake yuko Magufuli asiyemjua Mwigulu akaua ndoto zake zote akaishia kuwa mvuta bangi na mbugia madawa ya kulevya baada ya kuona ndoto zake alizoandaliwa na baba yake zimeyeyuka hewani za local politics
 
Hili jambo sidhani kama ni sawa mtoto anapaswa awe darasani huko anajifunza namna ya kutatua changamoto za jamii inayomzunguka kupitia uvumbuzi wa kisayansi sio kuongea vitu ambavyo yeye mwenyewe hajui kwa nini anaongea.
Yupo likizo ya mildterm! Tatizo lipo wapi??
 
Shule zipo likizo ya Pasaka
 
Hili jambo sidhani kama ni sawa mtoto anapaswa awe darasani huko anajifunza namna ya kutatua changamoto za jamii inayomzunguka kupitia uvumbuzi wa kisayansi sio kuongea vitu ambavyo yeye mwenyewe hajui kwa nini anaongea.
Wiki hii wanafunzi wapo likizo😁
 
Back
Top Bottom