Royal families katika ubora wake,watoto wa huku lingusenguse bado wanalimia meno na elimu yao duni,awamu ya kwanza ya utawala,watoto wote regardless wadhifa wa wazazi wote walipata elimu sawa kwenye shule zilizokua sawa,mtoto wa kigogo akisomea Bunge primary school na mlala hoi akiwa Mwembe togwa primary school,hizi shule mbili tofauti zote zilitoa ubora wa elimu ule ule,Leo ni tofauti kabisa,watoto hawa wapo international schools,high schools Canada,UK na university UCT!then wanarudi hapa kuendeleza status ago yao,nani ni mmiliki wa UDA?