Pre GE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

Pre GE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Royal families katika ubora wake,watoto wa huku lingusenguse bado wanalimia meno na elimu yao duni,awamu ya kwanza ya utawala,watoto wote regardless wadhifa wa wazazi wote walipata elimu sawa kwenye shule zilizokua sawa,mtoto wa kigogo akisomea Bunge primary school na mlala hoi akiwa Mwembe togwa primary school,hizi shule mbili tofauti zote zilitoa ubora wa elimu ule ule,Leo ni tofauti kabisa,watoto hawa wapo international schools,high schools Canada,UK na university UCT!then wanarudi hapa kuendeleza status ago yao,nani ni mmiliki wa UDA?
 
Wadau nawasabahi.Tanzania ina KATIBA yake inabainisha kila kitu kwa sheria zilizotungwa.Hivyo KATIBA ndio kila kitu.Juzi huko Iramba SINGIDA kulifanyika Mkutano wa Hadhara na kuhudhuria na Mbunge anayejua Sheria.Katika Mkutano huo Mtoto wake huyo Mbunge alipanda Jukwani na kuwamba Wananchi wamuamini BABA.
HOJE
Je Sheria inasemaje juu ya Mtoto chini ya Miaka 18 kufanya SIASA?
Je ikibainika sheria hairuhusu ni hatua gani zitachukuliwa Dhidi ya
huyo Mtoto na alimpa ruhusa ya kupanda jukwaani Kuhutubia ?
 
Watoto wenye vipaji kufundishwa siasa Kwa vitendo wakiwa WADOGO ni jambo jema.

Angalizo: Wasifundishwe namna ya KUIBA KURA wakiwa WADOGO, wasijekuwa manyangau.

Wafundishe HAKI na UZALENDO na Uadilifu, kutopokea Wala kutoa RUSHWA, nk nk.
 
Kusimama kwenye jukwaa la CCM kwa mtoto huyu kumeruhusiwa na nani!?
Hapo atafundishwa ulozi akiwa bado mtoto.
Hapo atafundishwa uongo akiwa bafo mtoto.
Hapo atafundishwa uasherati akiwa bado mtoto.
Hapo atafundishwa kumwaga damu akiwa bado mtoto.
Kwani hii si kutumikisha watoto!!??Baba anayemfurahia mwanye kwenye majukwaa nanma hii hafai kuitwa mzazi wala kuwa kiongozi wa mtaa.
 
Back
Top Bottom