CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Wanakuja kukutana mkuuCHADEMA lazima mkimbizwe hadi na chipukizi wa CCM ππππππ
Mapesa yote anayochezea atakosaje kufutukaa?Mtoto apunguze kula mikuku amenona sana!
Kwa Bongo hapa, SIASA baba lao.Waziri badala ya kumsomesha mwanae Matekinolojia yeye anamuingiza kwenye siasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona tutusa limeamua kuandamana na baba yake
Huyu akiwa mtu mtu Tanzania haitakuwa kama ilivyo sasa kisiasa.Endeleeni kubeza. Mjipange nanyie na familia zenu.hii ndio Tanganyika ya KIZIMKAZI.
Child labor au ajira za watoto hizo
Yupo likizo ya mildterm! Tatizo lipo wapi??Hili jambo sidhani kama ni sawa mtoto anapaswa awe darasani huko anajifunza namna ya kutatua changamoto za jamii inayomzunguka kupitia uvumbuzi wa kisayansi sio kuongea vitu ambavyo yeye mwenyewe hajui kwa nini anaongea.
Shule zipo likizo ya PasakaCh
Child labor au ajira za watoto hizo
Serikali iingilie kati huyo mtoto analazimishwa na mzazi kuchukua career kabla ya age of maturity
Huyo aachwe asome
Aweza kuwa Isaack Newton au Billy Gates au Dangote mbeleni
Umri huo sio wa kumwingiza mtoto kwenye siasa siasa haziko constant
Legacy hubadolika aweza fika enzi zake yuko Magufuli asiyemjua Mwigulu akaua ndoto zake zote akaishia kuwa mvuta bangi na mbugia madawa ya kulevya baada ya kuona ndoto zake alizoandaliwa na baba yake zimeyeyuka hewani za local politics
Wiki hii wanafunzi wapo likizoπHili jambo sidhani kama ni sawa mtoto anapaswa awe darasani huko anajifunza namna ya kutatua changamoto za jamii inayomzunguka kupitia uvumbuzi wa kisayansi sio kuongea vitu ambavyo yeye mwenyewe hajui kwa nini anaongea.
Labda baba keshaona yeye ndoto hazitatimia bora amwandae mtoto mapema
Kesho tu kanakua kawaziri
Tulisimamisha matumizi ya sheria mpaka wananchi wafundishwe kwa miaka mitano jinsi ya kutumia sheria.Je Sheria ya Nchi inaruhusu mtoto wa chini ya miaka 18 kushiriki SIASA?