Katono Mruma
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 131
- 84
Bahati nzuri Tanzania ni Nchi kubwa, sio kama Burundi, au Afrika ya Kati, au South Sudan. Huko kwenye vi Nchi vya hovyo hovyo unaweza kuongea hivyo, lakini Tanzania ni smart zaidi, ni kubwa zaidi na Ina watu mart. Huwezi kufanya fujo.Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Huko chadema unaweza mfabanisha na nani?
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 hili dongo ni very personalAmeutendea haki ugogo wake sana
Hivi Watoto wa Malecela wana shida gani kichwani ?Nisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
Uliwahi kuona korosho ikazaa embe?Hivi Watoto wa Malecela wana shida gani kichwani ?
Tatizo Nyota 🤣🤣Mkongo zoba kiasi kile?
Nyota ya sijida za kikwao zile wanapekecha nyuso na moto?Tatizo Nyota 🤣🤣
Mzee wao alipata hasara sana, maana mitoto imebakia kukata miuno kila weekends kwenye live band na kutajwa.... wapi nani nani Malechela
Huko chadema unaweza mfabanisha na nani?
Mzee wao aliharibu alipobadilisha jina na kusilimu uzeeni - Mwalimu akammaliza hapo hapo teh teh teh
inategemea unabadilisha dini katika mazingira yepi? ya huyu mzee yalimtatiza hadi Mwalimu...pamoja na hayo hakuna ubaya wowote ule kubadili dini.
Tatizo halikuwa kubadili jina bali motives behind ya kufanya hivyo.
Mzee aliuza utu wake
Mpuuzi tu huyuNisiongeze chochote.
Fuatilia ktk video.
inategemea unabadilisha dini katika mazingira yepi? ya huyu mzee yalimtatiza hadi Mwalimu.
Kwa hiyo yule Mzee Jumanne alikukwa nani mkuu? ni hivi Mwalimu hakufurahishwa na kitendo cha yeye kujihusisha na Zanzibar kujiunga na OIC. Kwa hiyo kitendo hicho kilimkera sana Mwalimu hadi akafikia kumtaja Malecela kuwa ni muhuni na mroho wa madaraka...hakubalisha dini Mzee wa watu.
..Mwalimu alimtoa kafara Malecela kutokana na hoja ya Tanganyika.
..Kwa taarifa yenu Mzee Malecela alituletea serikali ya Tanganyika Mwalimu akaipora.
..Mwalimu alikuwa anacheza rafu ili apitishe mtu wake kugombea Uraisi.
Kwa hiyo yule Mzee Jumanne alikukwa nani mkuu? ni hivi Mwalimu hakufurahishwa na kitendo cha yeye kujihusisha na Zanzibar kujiunga na OIC. Kwa hiyo kitendo hicho kilimkera sana Mwalimu hadi akafikia kumtaja Malecela kuwa ni muhuni na mroho wa madaraka.