Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.

Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.

Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.

Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Warabu wamekufanya Nini ndugu tujuze na sisi tujue
 
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.

Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.

Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.

Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
ibrahim angetulia, dunia hii ingekuwa salama na ya amani sana bila waarabu wala uislam.
 
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.

Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.

Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.

Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Hujitambui mbona waisrael pia wametokana na mimba za nje ya ndoa? Au hujui yakobo alizaa na vijakazi wake? Huna akili kabisa
 
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.

Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.

Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.

Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
tangulia milembe ukifika waambie maagizo ya RC
 
Hivi kwani Ibrahim mwenyewe alikuwa mzungu? Ibrahim alikuwa mwarabu aliyezaliwa na kukulia Iraq wakati huo ikiitwa Babylon.
Ibrahim alihamia nchi nyengine ya waarabu inayoitwa Falastin akakaa hapo mpaka akafariki hapo.

Kwa hivyo mwarabu akihama nchi ndio anabadilika kuwa mzungu au? Hao Israel ni kabila tu ila ni waarabu pure.

Ni kama Mtanzania ahamie Ghana hapo utasema huyu sio muafrika?

Nyie wenzetu Wakristo muende mkapimwe kwanza akili zenu sio kwa umbumbumbu huu
 
Kuna sehemu jimeandika Ibrahim ni mzungu
Waisrael si waarabu wala si wazungu
Ni middle Eastern
Si kila aliyeoko mashariki ni muarabu mbona hujielewi ww

Wakurds ni waarabu??
waazeri ni waarabu??

Hujui vitu unakuja kutapika ujinga hapa
 
Sawa kabisa. Hata waturuki na Waitan siyo Waarabu
 
Back
Top Bottom