Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

Ishmael ndio chanzo cha Waarabu na usilamu ?....hii nadharia mnaipata wapi ?

Uislamu umekuja baadae sana baada ya Ukristo kutangulia, Sasa hapo Ibrahim anahusika vipi?.
baba wa waarabu wote ni ishmael
baba wa waisrael na baba wa baba wa waisrael ni Isaka
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
 
Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.

Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.


Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.

Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Ukiwaona waarabu uwe unainama unawabusu miguu yao.
Wamekuletea namba unazotumia,
wamekuletea Algorithm unayo tumia program za computer Leo,
Wamekuletea Algebra yenye matumizi kemken kwenye sayansi.
Wamekuletea sea navigation kwa usafiri baharini hata hao wanaitwa wavumbuzi walitumia mbinu na vifaa vya waarabu kusafiri baharini.
Wamekuletea to Astronomy - robo tatu ya nyota unaziona kwa macho zinatumia majina ya kiarabu hadi Leo.
Wamekuletea lugha ya kiswahili inayo jumuisha watu karibu milioni 150
Wamekuletea chemistry hata neno chemistry asili yake ni kiarabu.
Wamechangia vikubwa kwenye elimu ya tiba na vifaa vingi vya tiba.
Wameleta elimu na vifaa vya maandishi Yani karatasi na kalamu hapa Afrika mashariki na hususan Tanzania watu wakikuwa wanawasaliana kwa maandishi miaka elfu na zaidi kabla wazungu hawajaja.
Ni msururu mwingi sana wa mchango wa waarabu kwenye nyanja zote
Jiulize wewe umechangia kipi duniani ? Zaidi ya kumaliza oxygen na kuongeza gesi ya ukaa kwenye mazingira.
Soma mtandaoni kabla ya kubwatuka
 
Back
Top Bottom