Abu Miqdad
Senior Member
- Mar 24, 2024
- 147
- 198
Wewe nenda tu katika ignore list yangu. Sihangaiki na watu kama wewe siku hiziEbu acha kumchanganya Molla na Allah
Mola ni mwenyezi mungu
Allah ni Mungu Ba-Al
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nenda tu katika ignore list yangu. Sihangaiki na watu kama wewe siku hiziEbu acha kumchanganya Molla na Allah
Mola ni mwenyezi mungu
Allah ni Mungu Ba-Al
Kuna hawa waarabu weusi wa Buza,Tandale nao asili yao wapi?Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
usilazimishe sasa unachoamin uwe ukweliWewe nenda tu katika ignore list yangu. Sihangaiki na watu kama wewe siku hizi
ayo asili yao ni utumwaKuna hawa waarabu weusi wa Buza,Tandale nao asili yao wapi?
Ety mliozaliwa nje shenz kweli 🤣siku akiwa rais, au waziri ilo neno. Nje ya ndoa utalitamka babu, sema mwanangu nakuunga mkonoNikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Nipo hapa mwarabu wa bariadiKama nitaolewa tena
Nitaolewa na muarabu
Nawakubali sana hao jamaa
Kichwa majiMzee Abraham alikosea Sana kusikiliza ushauri wa Mkewe, akaacha kumsikiliza Mungu wa Agano
Kuna sehemu jimeandika Ibrahim ni mzungu
Waisrael si waarabu wala si wazungu
Ni middle Eastern
Si kila aliyeoko mashariki ni muarabu mbona hujielewi ww
Wakurds ni waarabu??
waazeri ni waarabu??
Hujui vitu unakuja kutapika ujinga hapa
Waisraeli sio wazungu.Hivi kwani Ibrahim mwenyewe alikuwa mzungu? Ibrahim alikuwa mwarabu aliyezaliwa na kukulia Iraq wakati huo ikiitwa Babylon.
Ibrahim alihamia nchi nyengine ya waarabu inayoitwa Falastin akakaa hapo mpaka akafariki hapo.
Kwa hivyo mwarabu akihama nchi ndio anabadilika kuwa mzungu au? Hao Israel ni kabila tu ila ni waarabu pure.
Ni kama Mtanzania ahamie Ghana hapo utasema huyu sio muafrika?
Nyie wenzetu Wakristo muende mkapimwe kwanza akili zenu sio kwa umbumbumbu huu
Huu ndio upuuzi wa kubeba maandiko kama unasoma gazeti la saniNikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Hutaki ulazemishwe kuamini wanacho kiamini wengine ila ww unataka kuwalazimisha wengine wanamini kile unacho kuamini ww?usilazimishe sasa unachoamin uwe ukweli
Na nyinyi mnao sema mtaenda kuimba mabapimbio mbinguni ni kwamba mbinguni ni ukumbi wa disco au?kwan we unadhan kila mtu yupo timamu??
huyo si kama ww tu kuambiwa kuna bikra 72 una akili hata moja kweli?
kwamba mbinguni ni mahali pa kufanyia uzinzi
Wamaasai hawa hawa wa Monduli, Longido, Ngorongoro, Simanjiro na Kilosa??? hawa Wamaasi vichwa ngumu hawawezi kuwa miongoni mwa kabila za Israel.Waisraeli sio wazungu.
Wamasai yenyewe ni moja ya makabila ya Israel.
Huyo ndg asipokuelewa hapa basi atakuwa na kichwa kama cha kuku.Hukuzisoma World wars, Cold War, Korean War, Vietnam war, hukusoma walichofanya makomunisti akina Stalin, Pol Pot, Mao na wenzao, Bolsheviks waliua mamilioni.
Kasome kitu inaitwa Holodomor.
Hitler alipowaua mayahudi milioni 6 sijui hujasikia habari zake. Akina Leopold wa pili. Dunia inakuwa sio salama zaidi akina nani wakipigana? Urusi na Ukraine wamepigana vita vinaanza kila mtu ana wasiwasi. Korea wakitaka kupigana kila mtu ana wasiwasi. Kwa sababu wanajua ni akina nani hasa ndio wanatishia zaidi kuichoma moto amani ya dunia. Hao mayahudi (mazayuni) wenyewe waliofukuzwa na wasio waarabu huko Ulaya wakakimbilia nchi ya watu mashariki ya kati ni waleta fujo na watu wenye kuleta uharibifu. Kasome tu /ka google Samson Option uone ni watu wa aina gani! Na usisahau Waarabu hawajawahi kutumia mabomu ya nyuklia hata kidogo.
Mola wetu Allah ametakasika
Huyo ni mgtu moja katika lugha mbili tofauti. Ni sawa tu na wewe Mswahili unasema Mungu, then Watoto wa malkia wanamuita God. Kwa Kiarabu ndo Allah. Usichanganywe na lugha. Mimi kwa lugha yangu Mungu tunamuita Loa.Ebu acha kumchanganya Molla na Allah
Mola ni mwenyezi mungu
Allah ni Mungu Ba-Al
Tusiongelee mate wakati wino upo.Wamaasai hawa hawa wa Monduli, Longido, Ngorongoro, Simanjiro na Kilosa??? hawa Wamaasi vichwa ngumu hawawezi kuwa miongoni mwa kabila za Israel.
We unahakika marehemu uliyekuwa una muita baba ndiye mzazi wako?Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Hiyo Maasai Haina uhusiano na Wamaasai. Kwenye Biblia Kuna hadi jina OMARI na MUSHI. LAKINI haina maana kwamba na Wachanga ni Moja ya kabila za Israel. Ni majina tu.Tusiongelee mate wakati wino upo.View attachment 3153550
Wamaasai ni Hemites yaani uzao wa Ham wakati Waisrel asili ni Shemites yaani uzao wa Shemu.Hiyo Maasai Haina uhusiano na Wamaasai. Kwenye Biblia Kuna hadi jina OMARI na MUSHI. LAKINI haina maana kwamba na Wachanga ni Moja ya kabila za Israel. Ni majina tu.