Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
OK.Hiyo Maasai Haina uhusiano na Wamaasai. Kwenye Biblia Kuna hadi jina OMARI na MUSHI. LAKINI haina maana kwamba na Wachanga ni Moja ya kabila za Israel. Ni majina tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK.Hiyo Maasai Haina uhusiano na Wamaasai. Kwenye Biblia Kuna hadi jina OMARI na MUSHI. LAKINI haina maana kwamba na Wachanga ni Moja ya kabila za Israel. Ni majina tu.
Eti eeh.Wamaasai ni Hemites yaani uzao wa Ham wakati Waisrel asili ni Shemites yaani uzao wa Shemu.
Kwa hiyo bwana Stroke wewe kama ni Maasai Israel haiwahusu. Sisi na nyie tutabanana humu humu hadi kieleweke.Eti eeh.
Sio kweli, acha uongo.Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Hii kauli ya nje ya ndoa huwa inanishangaza sana, nje ya ndoa ndo wapi!? Ndoa ni nini? Ukiijua tafsiri ya ndoa basi utagundua hakuna mtoto wa nje ya ndoa.Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu.
Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha.
Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha.
Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako.
Mtoto wa nje ya ndoa siyo
Poleni mliozaliwa nje ya ndoa ,, sina budi kuongea ukweli
Hii habar ya dini imefunga watu wengi sana na mapokeo ya wanadamu. Ibrahim hakuwa mkristo wala muislam. Alikuwa mcha Mungu.🙄Kama Ibrahim alikua muislam Basi kunatatizo katika mafundisho ya hizi dini. Maana hakua Mkristo Ibrahim.
Simulizi za vitabu vya dini za majahazi zina mapungufu mno. Ukifata mtiririko wa uzao wa adamu utashangaa kusikia kuwa Ibrahim alihamia nchi nyingine ya Waarabu iitwayo Falastin! Huko alikutana na watu ambao kwa uhakika kabisa hawamo kwenye uzao wa Adamu! Tuambieni sasa; Adamu ni binadamu wa kwanza Duniani au ni wakwanza kwenye vitabu vyenu tu?Hivi kwani Ibrahim mwenyewe alikuwa mzungu? Ibrahim alikuwa mwarabu aliyezaliwa na kukulia Iraq wakati huo ikiitwa Babylon.
Ibrahim alihamia nchi nyengine ya waarabu inayoitwa Falastin akakaa hapo mpaka akafariki hapo.
Kwa hivyo mwarabu akihama nchi ndio anabadilika kuwa mzungu au? Hao Israel ni kabila tu ila ni waarabu pure.
Ni kama Mtanzania ahamie Ghana hapo utasema huyu sio muafrika?
Nyie wenzetu Wakristo muende mkapimwe kwanza akili zenu sio kwa umbumbumbu huu
Kwenye maisha hamnaga mtoto wa nje ya ndoa. Ndo maana hata Yesu hatumuiti mtoto wa nje ya ndoa ingawa Biblia inamielewa wazi kuwa mimba yake siyo ya Mzee Yusufu. Lakini pia hata mbari aliyotoka kule Kwa Peresi; bwana Peresi alipatikana. nje ya nyumbani wakati Mzee Yuda amepandwa na nyege akiwa kwenye kazi ya kukata manyoa kondoo zake. Lakini pia habari za kuzaliwa Kwa Sulemani, Daudi alipandwa na Mwashawasha akambaka mke wa Uria, Kamanda wake wa Jeshi. Lakipi pia habari za Mzee Yese na kuolewa kwa Naomi ni full mushkel.Kwani ni mwarabu? Huyo ni mfuasi wa watoto wa nje ya ndoa.
kumbe ni black mambaKwani ni mwarabu? Huyo ni mfuasi wa watoto wa nje ya ndoa.
mimba ilikua ya nani we mtoto wa nje ya ndoaKwenye maisha hamnaga mtoto wa nje ya ndoa. Ndo maana hata Yesu hatumuiti mtoto wa nje ya ndoa ingawa Biblia inamielewa wazi kuwa mimba yake siyo ya Mzee Yusufu. Lakini pia hata mbari aliyotoka kule Kwa Peresi; bwana Peresi alipatikana. nje ya nyumbani wakati Mzee Yuda amepandwa na nyege akiwa kwenye kazi ya kukata manyoa kondoo zake. Lakini pia habari za kuzaliwa Kwa Sulemani, Daudi alipandwa na Mwashawasha akambaka mke wa Uria, Kamanda wake wa Jeshi. Lakipi pia habari za Mzee Yese na kuolewa kwa Naomi ni full mushkel.
Hivyo, Kwa ufupi hamnaga mtoto wa nje ya ndoa wala ndani ya ndoa. Watoto wote ni baraka za Mungu na njia kuendelea uumbaji wa Mungu.
Hata kaini alimwambia mungu amuweke alama ili atakapopita watu wasumdhuru tafakari niSimulizi za vitabu vya dini za majahazi zina mapungufu mno. Ukifata mtiririko wa uzao wa adamu utashangaa kusikia kuwa Ibrahim alihamia nchi nyingine ya Waarabu iitwayo Falastin! Huko alikutana na watu ambao kwa uhakika kabisa hawamo kwenye uzao wa Adamu! Tuambieni sasa; Adamu ni binadamu wa kwanza Duniani au ni wakwanza kwenye vitabu vyenu tu?
Hahahahaha daah mmeshakuwa wendawazimu kwa kuendekeza dini za majahazi. Kwamba Ibu usiyemfahamu wala kuwa na undugu naye ni kipenzi cha Mungu ila Baba na Mababu zako siyo vipenzi wa Mungu!? Tokeni kwenye vifungo vua kiroho enyi watu weusi mliokosa akili.Nakushauri kwa unyenyekevu mkubwa, Ibrahim siyo mtu wa kawaida, ni kipenzi cha Mungu, ni baba wa Imani
Kumuogelea kwa kejeli, matusi, kumvunjia heshima unajitafutia balaa mbele ya mwenyezi Mungu.
Unamsingizia Uzinifu kipenzi cha Mungu, hivi unajua cosequences yake spiritually?
Kwahiyo wale Wayahudi mnaowapiga vita kwenye misikiti mnaosema waliwatesa waislam tangu enzi hizo waliwasumbua wakiwa wapi!? Kwamba mtu kurudi kwenye asili yake ni mvamizi? Qurani yenu inawatambua na kutambua ardhi yao ya asili ila nyie vichwa ngumu weusi mnapinga!Hukuzisoma World wars, Cold War, Korean War, Vietnam war, hukusoma walichofanya makomunisti akina Stalin, Pol Pot, Mao na wenzao, Bolsheviks waliua mamilioni.
Kasome kitu inaitwa Holodomor.
Hitler alipowaua mayahudi milioni 6 sijui hujasikia habari zake. Akina Leopold wa pili. Dunia inakuwa sio salama zaidi akina nani wakipigana? Urusi na Ukraine wamepigana vita vinaanza kila mtu ana wasiwasi. Korea wakitaka kupigana kila mtu ana wasiwasi. Kwa sababu wanajua ni akina nani hasa ndio wanatishia zaidi kuichoma moto amani ya dunia. Hao mayahudi (mazayuni) wenyewe waliofukuzwa na wasio waarabu huko Ulaya wakakimbilia nchi ya watu mashariki ya kati ni waleta fujo na watu wenye kuleta uharibifu. Kasome tu /ka google Samson Option uone ni watu wa aina gani! Na usisahau Waarabu hawajawahi kutumia mabomu ya nyuklia hata kidogo.
Mola wetu Allah ametakasika
Alikuwa mtume wa Mungu, (Yahwe) huyo Allah mtume wake ni MohammedNabii wa Allah Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwahi kuwa mzinifu. Alikuwa mbali na uchafu wa zinaa. Alikuwa ni Mtume wa Allah na ni katika Mitume watano bora zaidi. Amani iwe juu yake yeye na manabii wote wa Allah
Andaa kabisa kalio.Kama nitaolewa tena
Nitaolewa na muarabu
Nawakubali sana hao jamaa
Nyie mtaoenda kunywa pombe na kutiana je mbinguni ni guest au bar?Na nyinyi mnao sema mtaenda kuimba mabapimbio mbinguni ni kwamba mbinguni ni ukumbi wa disco au?
Kwani hadi Leo hujui mimba inavyopatikana??mimba ilikua ya nani we mtoto wa nje ya ndoa
Ibrahim na Ismael walikua wayahudi kivipi? Ebu let ushahidiMtoto wa myahudi Ibrahim hawezi zaa mwarabu.
Ishmael ni myahudi kwa baba.