Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

Nyerere aliwasomesha wote na kazi walipata wote.kama watoto wa watanzan8a wengine

Sasa ukitaka Nyerere awafanyie nini tena jamani? Au watanzania tuwafanyie nini cha ziada? Walipigania uhuru ni wengi na wana watoto wao lakini hawasumbui na wansjitegemea baada ya kusoma na kuajiriwa

Hakuna mtoto wa Nyerere aliyewahi kukosa ajira
Sasa huu ufukara unatokea wapi? Doooh
 
🀣
Ni huyuπŸ‘‡
View attachment 3042541
Tatizo pale ni kwamba wanafika viongozi wengi wa kitaifa. Kwa mfano wiki iliyopita nilimuona na kusalimiana na yule mdada anayeongoza Uhamiaji.
Sasa Hawa wageni wakati mwingine wanagawa hela.
Sasa katika kuzigombania hizi hela ndio mimi napata hizi kesi za kumbambikiziwa.
Naandika hii sio kuanzisha mjadala,ila kuufunga huu mjadala
 
Mpaka hapa atakayesema wewe sio Andrew basi akili yake itakuwa inafanana na wewe.
 
Endrew au Andrew
 
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Kama ni yule mwenye tatizo la ukichaa ni sawa tu
 
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar .
Hii imetokea jana baada ya wanakijiji kufanya mkutano chini ya mbuyu katika shule ya msingi Butiama na mtoto wa Nyerere kutuhumiwa kuwahujumu watoto wa shule ya msingi.
Naomba kuwasilisha.
Kawahujumu vipi hao watoto wa shule ya msingi huyo nameless?Kawachukulia vichongeo na penseli zao?
 
Anahitaji uangalizi maalum.

Ova
Uangalizi upi mtu anaweza hadi kutoroka Jwtz,anapanda bus,anasikiliza radio na hata ukiongea nae km we mwandishi ujipange.
Uzuri hagombani na mtu,ingekua wengine ungesikia 'unanijua mimi nimepigana vita kagera,mtoto wa Nyerere'
Haitaji uangalizi wowote,
Wale waliomfuata kule butiama kawatoroka ndio hao wa kumpeleka uangalizi maalum anawakimbia na anawafungulia sredi JF.
Ni kumuacha tu maisha yake ndo hayo.
Mnasema hataki kutoka kwao,
kumbe Mama hataki atoke nyumbani,
na mtoto babu nae hataki kutoka kwa mamaake amuache mpweke.
Tunae ndugu wa namna hiyo walipomchoka wakapeleka kijijini.
Walishangaa jamaa karudi home na baiskeli,ukiiona utachoka.
Aliipataje hatujui
 
Mtoto huyu wa Baba wa Taifa, atakuwa ni Andrew tuu, huyu ni issue, anapaswa kuwa handled with care. Familia zote watoto wote hawawezi kufanana, mkiisha jijua mna mtoto mmoja ambaye ni issue, watu wote wa familia wakiwemo walinzi, wanakuwa notified to be very careful during kipindi cha mwezi mpevu, anacharuka, dawa sio kumjia juu au kumuwekea vikao vya kijiji, kifamilia au kumripoti polisi, dawa is to handle him delicately with maximum care, atatulia na maisha yataendelea!.

Lakini pia kwa vile Andrew ni member mwenzetu humu, wana jf we have a duty of care kumsaidia na kuwasaidia watu kama hawa.

Mimi ni miongoni mwa self proclaimed mshauri nasaha wa kujitolea, nimeisha saidia wengi kwa ushauri wangu humu, akiwemo yule Blaza wangu aliyetagulia, naye alikuwa issue, jf tumemsaidia sana.

Andrew ni issue, tumsaidie!. Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

P
Kwa sababu si ccm ndiyo maana.
 
Back
Top Bottom