Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

Kuna watu wangapi wamewahi kukutana na Museveni kwa ajili ya masuala ya kibiashara? Abdul si wa kwanza na hatokuwa wa mwisho, tuache chuki binafsi
 
Hela za kuwekeza lazima zitoke mfukoni kwake? Hakuna benki zinakopesha? Hakuna partnership anaweza fanya na watu wenye mitaji?

Maswali yako hayana msingi. We unataka kujua watu hela wanapata wapi watafute binafsi wakueleze sio unatuletea maswali ya kimaskini hapa. Au nikuulize wewe hapa hela zako unapata wapi?
Kwenye kichwa chako bank bank inaweza kopesha a startup business $25m, tena a new venture without experience on the sector.

Hiyo TANESCO yenyewe yenye asset za tsh 20 trillion plus hakuna bank inayoweza kuwakopesha. Hata kupata access ya international funds za tsh 70 billion bado inahitajika dhamana ya government guarantee. Maana yake awaaminiki hata na hao waarabu tuliowapa bandari wanataka serikali ikubali mzigo TANESCO wakishindwa deni wapewe walipa kodi hiyo ndio condition ya Abudhabi.

Sasa mtu ambae hana assets zozote, hana business expertise halafu unaamini kuna bank itampa hizo hela.

Embu fikiria kidogo kabla ujaandika ujinga wako.
 
Kwenye kichwa chako bank bank inaweza kopesha a startup business $25m, tena a new venture without experience on the sector.

Hiyo TANESCO yenyewe yenye asset za tsh 20 trillion plus hakuna bank inayoweza kuwakopesha. Hata kupata access ya international funds za tsh 70 billion bado inahitajika dhamana ya government guarantee. Maana yake awaaminiki hata na hao waarabu tuliowapa bandari wanataka serikali ikubali mzigo TANESCO wakishindwa mzigo wapewe walipa kodi hiyo ndio condition ya Abudhabi.

Sasa mtu ambae hana assets zozote, hana business expertise halafu unaamini kuna bank itampa hizo hela.

Embu fikiria kidogo kabla ujaandika.
Hizi ni speculations zako tu.

Unajuaje kama hana assets? Unajuaje kama hana business expertise? Umemzaa?

Acha roho mbaya na chuki. Mwenzako akipewa na wewe omba Mungu upewe.
 
Kuna wa TZ wapumvavu sana (samahani Lakini).
Embu soma tena tweet ya Mseven, nioneshe ni wapi ameandika kakutana na ujumbe toka serikali ya Tanzania?

Pili nioneshe alipoandika chochote kuhusu Serikalini, Wizara ya Nishati au TANESCO.

Acheni uchochezi na uzushi.
 
Hizi ni speculations zako tu.

Unajuaje kama hana assets? Unajuaje kama hana business expertise? Umemzaa?

Acha roho mbaya na chuki. Mwenzako akipewa na wewe omba Mungu upewe.
Short on facts like always. Weka hiyo business expertise yake na assets zake basi? Hadi amzae kama mama yake ndiyo facts zitakuwa wazi? Wewe ni mpuuzi sana aisee.
 
Hizi ni speculations zako tu.

Unajuaje kama hana assets? Unajuaje kama hana business expertise? Umemzaa?

Acha roho mbaya na chuki. Mwenzako akipewa na wewe omba Mungu upewe.
Haya wewe unaemjua tueleze biashara zake.

Roho mbaya ya nini, yaani nilione wivu familia ya majizi.

Watu wanahitaji miundombinu wapate access za masoko wajiinue kibiashara, hizo hela hawana. Halafu mitoto yao ina hela ya kuwekeza nje ya nchi kiasi cha kujenga 50km ya lami Tanzania.

Sema na njaa zako usidhani kila mtu anaona sawa kuwaibia watanzania walio wengi maskini.
 
Wewe uliyesema hana ndo uthibitishe.

Thibitisha pia namna wanavyowaibia watanzania!
 
Short on facts like always. Weka hiyo business expertise yake na assets zake basi? Hadi amzae kama mama yake ndiyo facts zitakuwa wazi?
Ana analojua basi zwazwa tu, kwenye kichwa chake huko kwenye capital market hela zinapatikana kirahisi kama vile wanavyozipata wanaomlisha kwa kuiba serikalini.
 
Haya wewe unaemjua tueleze biashara zake.

Roho mbaya ya nini, yaani nilione wivu familia ya majizi.

Watu wanahitaji miundombinu wapate access za masoko wajiinue kibiashara, hizo hela hawana. Halafu mitoto yao ina hela ya kuwekeza nje ya nchi kiasi cha kujenga 50km ya lami Tanzania.

Sema na njaa zako usidhani kila mtu anaona sawa kuwaibia watanzania walio wengi maskini.
Sikiliza kijana, huyo kaenda kumuuuzia Museveni nchi. Wahi mahakama, unapajuwa? kama hupajuwi mfate Liussu akuelekeze.
 
Wewe uliyesema hana ndo uthibitishe.

Thibitisha pia namna wanavyowaibia watanzania!
Fala kweli mimi nimekwambia hana biashara au income stream, wewe unasema najuaje si ndio unajukumu la ku debunk my submission with facts.

Huna hizo evidence please don’t loiter people with your nonsense.
 
Thibitisha sasa kuwa hana hivyo vitu. Shida iko wapi?
 
Ana analojua basi zwazwa tu, kwenye kichwa chake huko kwenye capital market hela zinapatikana kirahisi kama vile wanavyozipata wanaomlisha kwa kuiba serikalini.
Yupo so aggressive like a scorned bitch, yet so dumb. Anajibu lolote linalokuja kichwani kwake
 
Back
Top Bottom