wanzagitalewa
Senior Member
- Jan 25, 2018
- 128
- 84
Kuna watu wangapi wamewahi kukutana na Museveni kwa ajili ya masuala ya kibiashara? Abdul si wa kwanza na hatokuwa wa mwisho, tuache chuki binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kichwa chako bank bank inaweza kopesha a startup business $25m, tena a new venture without experience on the sector.Hela za kuwekeza lazima zitoke mfukoni kwake? Hakuna benki zinakopesha? Hakuna partnership anaweza fanya na watu wenye mitaji?
Maswali yako hayana msingi. We unataka kujua watu hela wanapata wapi watafute binafsi wakueleze sio unatuletea maswali ya kimaskini hapa. Au nikuulize wewe hapa hela zako unapata wapi?
Ndio nini hiki umeandikaWewe una historia ya kuingia JF kwenye familia yako?
Hizi ni speculations zako tu.Kwenye kichwa chako bank bank inaweza kopesha a startup business $25m, tena a new venture without experience on the sector.
Hiyo TANESCO yenyewe yenye asset za tsh 20 trillion plus hakuna bank inayoweza kuwakopesha. Hata kupata access ya international funds za tsh 70 billion bado inahitajika dhamana ya government guarantee. Maana yake awaaminiki hata na hao waarabu tuliowapa bandari wanataka serikali ikubali mzigo TANESCO wakishindwa mzigo wapewe walipa kodi hiyo ndio condition ya Abudhabi.
Sasa mtu ambae hana assets zozote, hana business expertise halafu unaamini kuna bank itampa hizo hela.
Embu fikiria kidogo kabla ujaandika.
Huwezi kuziona aliokua akiyasema yule mzee yote yanafanyika awamu hizi mbili ya marehemu na ya huyu mfuNdomana HOTUBA za mwl Nyerere TBC zimeadimika skuhizi.
Short on facts like always. Weka hiyo business expertise yake na assets zake basi? Hadi amzae kama mama yake ndiyo facts zitakuwa wazi? Wewe ni mpuuzi sana aisee.Hizi ni speculations zako tu.
Unajuaje kama hana assets? Unajuaje kama hana business expertise? Umemzaa?
Acha roho mbaya na chuki. Mwenzako akipewa na wewe omba Mungu upewe.
Ukiyesema hana hivyo ndo uthibitisheShort on facts like always. Weka hiyo business expertise yake na assets zake basi? Hadi amzae kama mama yake ndiyo facts zitakuwa wazi?
Haya wewe unaemjua tueleze biashara zake.Hizi ni speculations zako tu.
Unajuaje kama hana assets? Unajuaje kama hana business expertise? Umemzaa?
Acha roho mbaya na chuki. Mwenzako akipewa na wewe omba Mungu upewe.
Wewe uliyesema hana ndo uthibitishe.Haya wewe unaemjua tueleze biashara zake.
Roho mbaya ya nini, yaani nilione wivu familia ya majizi.
Watu wanahitaji miundombinu wapate access za masoko wajiinue kibiashara, hizo hela hawana. Halafu mitoto yao ina hela ya kuwekeza nje ya nchi kiasi cha kujenga 50km ya lami Tanzania.
Sema na njaa zako usidhani kila mtu anaona sawa kuwaibia watanzania walio wengi maskini.
Ana analojua basi zwazwa tu, kwenye kichwa chake huko kwenye capital market hela zinapatikana kirahisi kama vile wanavyozipata wanaomlisha kwa kuiba serikalini.Short on facts like always. Weka hiyo business expertise yake na assets zake basi? Hadi amzae kama mama yake ndiyo facts zitakuwa wazi?
Shida iko wapi? Wewe ndo uliyesema hana expertise. Thibitisha mambo yako unayodai kuhusu yeyeAna analojua basi zwazwa tu, kwenye kichwa chake huko kwenye capital market hela zinapatikana kirahisi kama vile wanavyozipata wanaomlisha kwa kuiba serikalini.
Sikiliza kijana, huyo kaenda kumuuuzia Museveni nchi. Wahi mahakama, unapajuwa? kama hupajuwi mfate Liussu akuelekeze.Haya wewe unaemjua tueleze biashara zake.
Roho mbaya ya nini, yaani nilione wivu familia ya majizi.
Watu wanahitaji miundombinu wapate access za masoko wajiinue kibiashara, hizo hela hawana. Halafu mitoto yao ina hela ya kuwekeza nje ya nchi kiasi cha kujenga 50km ya lami Tanzania.
Sema na njaa zako usidhani kila mtu anaona sawa kuwaibia watanzania walio wengi maskini.
Wewe unaona jambo dogo hilo!! Ujumbe wa kiserikali kuongozwa na mtu ambaye hatujui rasmi nafasi yake serikalini!!Hili nalo la ni ajenda tayari,kuzunguka nchi nzima kulitangaza.
Fala kweli mimi nimekwambia hana biashara au income stream, wewe unasema najuaje si ndio unajukumu la ku debunk my submission with facts.Wewe uliyesema hana ndo uthibitishe.
Thibitisha pia namna wanavyowaibia watanzania!
Bado kidogo tu upate nafasi ya uteuzi! Ongeza bidii!!Sikiliza kijana, huyo kaenda kumuuuzia Museveni nchi. Wahi mahakama, unapajuwa? kama hupajuwi mfate Liussu akuelekeze.
Thibitisha sasa kuwa hana hivyo vitu. Shida iko wapi?Fala kweli mimi nimekwambia hana biashara au income stream, wewe unasema najuaje si ndio unajukumu la ku debunk my submission with facts.
Huna hizo evidence please don’t loiter people with your nonsense.
Yupo so aggressive like a scorned bitch, yet so dumb. Anajibu lolote linalokuja kichwani kwakeAna analojua basi zwazwa tu, kwenye kichwa chake huko kwenye capital market hela zinapatikana kirahisi kama vile wanavyozipata wanaomlisha kwa kuiba serikalini.
Acha kuchosha watu na upuuzi.Sikiliza kijana, huyo kaenda kumuuuzia Museveni nchi. Wahi mahakama, unapajuwa? kama hupajuwi mfate Liussu akuelekeze.