Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Naandika nikiwa kazini nipo bize ndo mana uandishi huko hivi, we si unasubiri saa mbili usiku ujishushe river side ofisini?


Fullstop, kwishaaaa
Samia mtoto wake ni abdul tu ? Mbona tuuma zote ni yeye zaidi jiongeze abdul ana tofauti yoyote na mtoto wa museven
 
Abdul mtoto wa SSH ni mfanyabiashara wa miaka mingi sasa yeye kumiliki gari ya 1B sioni Kama ni tatizo
Kumbe ana shughuli zake jamani?🤣🤣
Safi sana.Ndo mana hana muda na siasa kaka wa watu.

Anauza nini ndugu yetu tukamuungishe au ikibidi na sisi tujaribu labda na sisi tutatoboa🤣
 
Ndio binadamu walivyo Huwa wanataka aidha wawe Juu Yako au muwe sawa
 
Kumbe ana shughuli zake?
Safi sana.

Anauza nini ndugu yetu tukamuungishe au ikibidi na sisi tujaribu labda na sisi tutatoboa🤣
Abdul Ana run biashara kutoka China na nchi mbalimbali.

Amewahi kuwa supplier wa matairi na hii ndo baishara yake maarufu watu wakariakoo wanajua .

Kama MTU anamiliki biashara za mabilion akiamua Kununua Gari la 1B sifikirii Kama atashindwa.

Spare , matairi n.k ana biashara tofauti.

Kuhusu kukwepa kodi n.k % kubwa kariakoo na wafanyabiashara wote hufanya nasty business.

Mimi sioni tatizo la Abdul.
 
Kumbe ana biashara zake kaka wa watu.

Umbea umenikaba kujua anachouza kinachompa hayo maokoto🤣
Ni vizuri uka-trace background yake kabla hata huyo mama yake kuwa Rais Abdul yupo na pesa .

Wafanyabiashara wa kariakoo wanamjua ni Muuza matairi na spare kitambo
 
Sawa waishi watakavyo lakini wasiue watu. Inakera sana, kuiba muibe na bado muue watu binadam wa aina gani nyinyi?
Weka kaushahidi walimuua nani kwa kutumia Nini. Vinginevyo something must bubbling underneath the pants
 
Ni vizuri uka-trace background yake kabla hata huyo mama yake kuwa Rais Abdul yupo na pesa .

Wafanyabiashara wa kariakoo wanamjua ni Muuza matairi na spare kitambo
Anhaaah!!
Eeeh!!

Niingie sasa kwenye kuuza matairi na spare!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anhaa!!
Okay!!
Kumbe.
Hongera zake🙏

Hilo la kukwepa kodi sikua nalijua ndo umenijuza wewe ndugu yangu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…