Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Watu wanaoishi kwa pesa za umma hawana haki ya kuachwa, huelewi wapi?
 
Hata kama ana hela ndo arndeshe gari la b2 na ushehe wakati wa tawaliwa wa mamaake wanaishi chini ya SHS 7,400 kwa siku yaan chini ya mstari wa umaskinl
 
Ni vizuri uka-trace background yake kabla hata huyo mama yake kuwa Rais Abdul yupo na pesa .

Wafanyabiashara wa kariakoo wanamjua ni Muuza matairi na spare kitambo
Endelea na vijora hujawahi hata kunipa ofa ya kukusindikiza kufata mzigo china.
Naingia kwenye matairi na spare na mim nataka kuendesha RR🤣🤣

Lamomy
 
Ale maisha yake lakini waache kuwatesa chadema wamwachie Lisu toka jela
 
Huyu jama wanamuonea sana nahisi hi Kwa sababu yeye sio mtu wa show off Wala sio mafia

Angekuwa kama wale akina lz ambao walikuwa ukimzingua na wewe anakuzingua wasinge mfuata fuata hivi
Yeye ni hatari zaidi kuliko hao yeye hucheza chini chini na Sasa kacheza na akina Rostam Aziz wamkomoe Tundu Lisu
 
Gari anayoendesha ina thamani ya madarasa 300.... ukisema ujenge hospital za kata 5.......ukisema ujenge rami kilometer nne sawa na mwenge to african......hiyo gari moja
Kaka angu usimpangie mtu chake inshu ya kuwa ni Mali za umma sijui ufisadi maisha hayaendi hivo, smart phone unayo miliki Kuna motivation speaker alisema tuziuze ziwe mitaji tufanyie biashara ndogondogo kwenye LAKI MOJA Kuna kilo za karanga zaidi ya sabini we unanunua simu wakati Kuna watu hawana mitaji


Fullstop, kwishaaaa
 
Hapana sijasomea ,"private schoil" nimesomea private school, alafu ka inakuuma sana ninge kupa NAMBA za baba angu ada ya chuo ya mdogo angu akuhonge wewe sema siku amini usimuambukize maradhi eti, fellsory kama nmekukwaza eti mshangazi


Fullstop, kwishaaa
 
Samia mtoto wake ni abdul tu ? Mbona tuuma zote ni yeye zaidi jiongeze abdul ana tofauti yoyote na mtoto wa museven
Mkuu hayatuhusu hayo mambo ya kifamilia waachie wenyewe, we pambana na mama yake



Fullstop, kwishaaaa
 
Watu wanaoishi kwa pesa za umma hawana haki ya kuachwa, huelewi wapi?
UNa uhakika ye ANAISHI kwa PESA za umma? Hana biashara zake? Pambaneni na mama yake huyo ndo mna haki ya kumhoji huyu hajawahi kukuomba kura wewe kwanini umfate? Ni mbunge? Ni waziri? Bro heshimuni watu


Fullstop, kwishaaa
 
Hata kama ana hela ndo arndeshe gari la b2 na ushehe wakati wa tawaliwa wa mamaake wanaishi chini ya SHS 7,400 kwa siku yaan chini ya mstari wa umaskinl
Hayamuhusu mkuu, hiyo smart phone unayo miliki Kuna watanzania wenzako wanalala njaa uza wapelekee mahitaji yao utakuwa mzalendo hasa


Fullstop, kwishaaaa
 
Vijana wa Masaki -- majibu yenu machafu yanakera sana -- mnachosha na mnaaibisha jamii ya kitanzania!

Hamwezagi kujibu kwa hoja na kutumia akili, kazi kumwaga matusi tu.
 
UNa uhakika ye ANAISHI kwa PESA za umma? Hana biashara zake? Pambaneni na mama yake huyo ndo mna haki ya kumhoji huyu hajawahi kukuomba kura wewe kwanini umfate? Ni mbunge? Ni waziri? Bro heshimuni watu


Fullstop, kwishaaa
Mama yake ni rais wa Tanzania.

Kabla ya kuwa rais unatakiwa kukaa na familia yako kushauriana nayo.

Kuwauliza. Kazi hii ni ya umma. Ina makeke mengi. Ina kuandikwa sana kwenye magazeti.

Mnakubali darubini hizi za maisha ya umma?

Wakikubali ndiyo unakubali maisha ya siasa. Wakikataa hukubali.

Samia alikubali kuwa rais.

Yeye na familia yake ni fair game kuangaliwa kwa darubini kali ya umma.

Mimi na familia yangu tumekataa maisha ya siasa. Tunataka kuishi kwa faragha zetu. Watu wakituandama watakuwa na matatizo kwa sababu hatujafanya kazi za siasa.

Huelewi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…