Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Kuna vyama ni laana tupu ukivishabikia
 
Mama yako anapambana kwa kwa ajili ya familia yenu sio taifa, asha piga mnada bandari ngoja amalizie ngorongoro,
Rais wetu anapambana kwa ajili ya Tanzania na watanzania.ndio maana anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kuwa watanzania wakienda hospitalini wakute vifaa tiba,wahudumu wa afya ,madawa . Watoto wa maskini wapate elimu bure mpaka kidato cha sita na mikopo kwa wale watakao endelea na Elimu ya juu.

Mama yetu anapambana kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbolea za Ruzuku ili kuongeza uzalishaji na hatimaye kipato cha mtu mmoja.

Mama anapambana kuhakikisha kuwa miundombinu ya barabara inajengwa kila sehemu, usambazaji wa maji safi na salama , usambazaji wa huduma ya umeme ,ajira kwa vijana na mengine mengi sana. Ndio maana tunasema mama anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mtoto anampigia Mama Kampeni
 
Amewekeza kwa taifa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…