Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

MTOTO WA RAIS SAMIA (WANU H. AMEIR): SITAMANI KUONEKANA MTOTO WA RAIS NIKIINGIA MAHALI/NAUMIA MZAZI AKITUKANWA - MBUNGE NA MWENYEKITI MIF

"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
[emoji7][emoji7]
Mh.Wanu anajitambua....

Mwanadamu ana "UNAFSI" wake...

UNAFSI huu unahitaji HEWA SAFI YA OKSIJENI....upumue na kuelea....

Nasaba ni mambo mengine....

Ukitanguliza "unasaba" sana hufikia mtu kuwa na "MULTIPLE PERSON IDENTITY"...hii ni mbaya kiafya kwa yule ambaye UBONGO wake umesalimika na kila kinachoviza TAFAKURI.....

#JMT milele dumu[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Amewekeza kwa taifa lipi?
Ukiamka kutoka jinamizi lako nitakufundisha kuhusu uadhimu wa taifa tukufu liitwalo TANZANIA...

Tunu zake zikiwemo na heshima kwa wote na zinaanzia kwa VIONGOZI wetu....

Mh.Rais SSH halali mchana halali usiku kwa ajili ya kuulinda ule msahafu mtukufu wa JMT.....

#Tanzania Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama anaumia amwambie mama yake 2025 asigombee.
Huyo ni binaadamu....

Ana moyo...
Ana hisia...
Ana tafakuri kuntu....

Tanzania hatuhitaji kuwa na Rais MALAIKA mwenye watoto wa kimalaika ambao hawatoumizwa KIHISIA kwa maneno machafu dhidi ya familia zao....

Anajua hayo na atavumilia tu kwani tunataka tuendelee kuvushwa na mh.Rais SSH[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ajiilize kwanini watoto wengine wa viongozi wastaafu kama wa Abedi A. Karume, Amani Karume, Ali Mwinyi, Julius Nyerere, Joseph Warioba, Dr. Mohamed Shein, John Malecela n.k wanatembea vifua mbele ...

Kwanini watoto wa rais Hassan kina Abduli, Wanu wanaogopa n nini wamekifanya, je wamejivika cheo cha wana wa mfalme yaani u Prince na u princess kwa kuwa mzazi ni rais n.k
 
MTOTO WA RAIS SAMIA (WANU H. AMEIR): SITAMANI KUONEKANA MTOTO WA RAIS NIKIINGIA MAHALI/NAUMIA MZAZI AKITUKANWA - MBUNGE NA MWENYEKITI MIF

"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
Mleta mada kam"quote out of context"
 
Mh.Rais SSH halali mchana halali usiku kwa ajili ya kuulinda ule msahafu mtukufu wa JMT.....
Hongera sana

1724275876927.png
 
OK huyo ni mama yako ila ni Rais wetu, hiyo inatupa kila haki ya kumtupia mawe pale inapotulazimu.
 
Back
Top Bottom