Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji7][emoji7]
MTOTO WA RAIS SAMIA (WANU H. AMEIR): SITAMANI KUONEKANA MTOTO WA RAIS NIKIINGIA MAHALI/NAUMIA MZAZI AKITUKANWA - MBUNGE NA MWENYEKITI MIF
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
Mh.Wanu anajitambua....
Mwanadamu ana "UNAFSI" wake...
UNAFSI huu unahitaji HEWA SAFI YA OKSIJENI....upumue na kuelea....
Nasaba ni mambo mengine....
Ukitanguliza "unasaba" sana hufikia mtu kuwa na "MULTIPLE PERSON IDENTITY"...hii ni mbaya kiafya kwa yule ambaye UBONGO wake umesalimika na kila kinachoviza TAFAKURI.....
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app