Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Bila shaka ni mbunge wa viti maalumu?? CCM hawaitaki hoja ya kufuta viti maalumu kwa mambo Kama haya,Mama Salma kikwete,na huyu nani sijui...nchi ya masela hi,Pepo ya Mabwege...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vyama ni laana tupu ukivishabikia
MTOTO WA RAIS SAMIA (WANU H. AMEIR): SITAMANI KUONEKANA MTOTO WA RAIS NIKIINGIA MAHALI/NAUMIA MZAZI AKITUKANWA - MBUNGE NA MWENYEKITI MIF
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
Tunasonga na mama mpaka 2030.Mshauri mam 25 ,amuachie konda agombee
Rais wetu anapambana kwa ajili ya Tanzania na watanzania.ndio maana anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha kuwa watanzania wakienda hospitalini wakute vifaa tiba,wahudumu wa afya ,madawa . Watoto wa maskini wapate elimu bure mpaka kidato cha sita na mikopo kwa wale watakao endelea na Elimu ya juu.Mama yako anapambana kwa kwa ajili ya familia yenu sio taifa, asha piga mnada bandari ngoja amalizie ngorongoro,
Huwa unabubujikwa na machozi?Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Mtoto anampigia Mama Kampeni
MTOTO WA RAIS SAMIA (WANU H. AMEIR): SITAMANI KUONEKANA MTOTO WA RAIS NIKIINGIA MAHALI/NAUMIA MZAZI AKITUKANWA - MBUNGE NA MWENYEKITI MIF
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
Duuh...,Mshauri mam 25 ,amuachie konda agombee
Rais Samia anapigiwa kampeni na mioyo ya mamilioni ya watanzania. kutokana na kazi kubwa aliyoifanya na maendeleo makubwa aliyoyaleta ndani ya muda mfupi wa uongozi wakeMtoto anampigia Mama Kampeni
Rais Samia ndio chaguo letu na sasa tunasubiri wakati ufike ili tukampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaKama anaumia amwambie mama yake 2025 asigombee.
Mamilioni gani hapa jf mko watu wasiozidi watatuRais Samia anapigiwa kampeni na mioyo ya mamilioni ya watanzania. kutokana na kazi kubwa aliyoifanya na maendeleo makubwa aliyoyaleta ndani ya muda mfupi wa uongozi wake
Endelea kujifariji na kuumia kimoyo moyo tu.Mamilioni gani hapa jf mko watu wasiozidi watatu
Luca
Variable
Chiembe
Viti maalum, Zanzi BarNi Mbunge wa wapi kwanza...🤔
2025 waambie wakupe hata uteuzi wa balozi Afghanistan.Rais Samia ndio chaguo letu na sasa tunasubiri wakati ufike ili tukampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Hata mimi huwa naumia sana kuona Mheshimiwa Rais akitukanwa matusi na vitoto vidogo kama li Mdude Nyagali
Amewekeza kwa taifa lipi?“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF