Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Lingekuwa jambo jema angetueleza urahisi wa mtoto wa rais kupata cheo hata kama alifeli kuliko mtoto wa masikini kupata tiba hata kama alipasi mitihani yake.
Amenikumbusha Mwalimu Nyerere alimteua Balozi Waziri Juma kuwa mwenyekiti wa UWT!
 
Duniani hakuna neno kukosolewa kwa staha, unastahili ukosolewe kikamilifu kulingana na kosa ulilolifanya, nusu maksi hapana. Ila sasa na nyie mtuone na sisi tusio na wazazi viongozi kuwa akili na uwezo wa kuongoza nchi tunao, msituone sisi ni magangwala au magarasa huku mnajaza familia zenu madarakani, mbona Mwalimu Nyerere alijitahidi hata pale Mwitongo palionekana ni mahali pa kawaida tu kama kijijini, hapakuwahi kufanyika matamasha yasiyokuwemo kwenye ratiba ya sherehe za kiserikali na kugharamiwa na wasiojulikana.
 
Mwambie aachie urais ambao hauwezi. Kwani lazima? Eti awekeza kwenye taifa. Samia kafanya nini cha maana kwa Tanzania kama siyo kuuza nchi?
 
Samia angeumaliza mchezo mapema. Kiufupi akubaliki ila machawa ndo wanamlazimisha agombee.
 
1. Kikeke naye ameanza kuwa takataka kama zingne kwenye habari
2. mama yako ni rais, mshauri aachie uraisi uone kama atatukanwa, lazina asemwe na waajiri wake
3. Na wala hatukanwi ila hataki kukosolewa
5 Wewe kutukanwa unalia je wazazi ndugu na jamaa wa waliopotezwa na serikai yake afanyeje?
Mwisho:mama yako ni mwajiliwa wa watanzania... anapokosea atasemwa

 
Duniani hakuna neno kukosolewa kwa staha, unastahili ukosolewe kikamilifu kulingana na kosa ulilolifanya, nusu maksi hapana.
Kukosolewa kwa staha ni kukosoa kwa kutumia lugha ya staha na sio lugha ya kuudhi au kutukana. Somo hili la ukosoaji wa staha nililianza toka enzi za JK Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! alipokuja JPM, pia tulipiga somo hili Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli na sasa Samia Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda kote huko kunatumika lugha za staha.
P
 
Umaarufu ni mzigo wa miba ukiubeba lazima utaumia,pole endelea kupambana ndo ushakuwa mtoto wa raisi hakuna namna hapo
 
Aseme tu ukweli hatamani kuonekana/Kujulikana mahali kama mtoto wa Rais sio kwa sababu Eti anaumia Mzazi anavyotukanwa, Hapana, Ukweli ni hata yeye Hatamani na anaona aibu jinsi Mama Yake mambo anayoyafanya. 😂😂
 
Hili jinga sana. Amewekeza muda wake kwa taifa, kwani aliombwa? Kiherehere chake tu. Sheria ya dini yake hairusu lakini alikomaa kukalia kiti.

Apambane na hali yake.
 
Mwambie Mama awe mkali Saana Hasa Kwa Awadhi Haji,,anavunja Sheria mchana kweupe.
 
Nonaumia kuona watu wanatekwa halafu mama wanu hafidh anachekea tuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…