milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Watu Wasiyojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo. Vijana wengine kutoka CHADEMA ambao ambao hawajulikani walipo baada ya sekeseke la maandamano ya BAVICHA...
Mtumie mama ujumbe huu!