Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Bora wewe kuna watoto wazazi wao hawajulikan walipo sababu ya mama yako Mama yako anapambana kwa kwa ajili ya familia yenu sio taifa, asha piga mnada bandari ngoja amalizie ngorongoro,
Acheni upumbavu Watanganyika, vitu vyetu vinapigwa bei na huyo Mzanzibar lakini hatuchukui hatua zozote badala yake tunaishia kwenye mitandao tu, ni bora tukapiga kimya na kama vipi tunalianzisha kama Watanganyika wa Lamadi walivyoamua kuingia front mbona easy tu.
 
bado hajasema, matusi ya kuanzia november 2024 hadi november 2025 atajinyonga kabisa. Amwambie mama yake atangaze mapema kuwa hana nia kugombea urais 2025 hapo atasalimika kiasi fulani, tofauti na hapo watamtambua kama mama yake ana tamaa sana...kapewa akaimu miaka 4 tu tayari amenogewa anataka na anaona anaweza kumbe embe la kupewa si sawa na la kununua.
Kuna ambao hii comment imewakera mpaka wanatamani wakupige short ya UMEME wa HIGH VOLTAGE ⚡ ⚡

TANZANIA NCHI YANGU😊
 
Huyu hata bila kumtambulisha anafanana sana na mh raisi
 
Kwa nini wanachama wa vyama vya siasa Marekani hawasemi Republicans/Democrats Oyeee...?
Muulize mam hili swali.
 
Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Na unajisikia je mzazi wako anapopora raslimali za watanganyika na kuwagawia wajomba zake na wewe kufaidika?
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Hizo pete hizo pete hizo pete
 
Shauri mam akatae kuitwa "Chura Kiziwi’

"Deaf Frog". It's a playful phrase used to describe someone who is oblivious or doesn't seem to notice what's going on around them.
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Kama anaumia amwambie mama yake mwakani asigombee jamani...!
Au ndio sizitaki mbichi hiziiii!
 
Back
Top Bottom