Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
πππ We uoni kuwa ni mremboWe nae una nyege tu
Ahaha anakojoa pazuri uyoUnatafuta Ugomvi na Mh. Sheikh Mchengerwa??
uongo utawauaBora wewe kuna watoto wazazi wao hawajulikan walipo sababu ya mama yako Mama yako anapambana kwa kwa ajili ya familia yenu sio taifa, asha piga mnada bandari ngoja amalizie ngorongoro,
So stupid, mtoto wa, rais unaongea pumba, hapo ukute na yeye anavizia ajira, au kapachikwa sehemu,"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
βInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloβ - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Rais ni taasisi hivyo urais ukiwa ni taasisi natumai muhusika kwa hivi sasa ni Dr. Samia anao wasaidizi wake wanaoandaa hotuba zake na nini cha kutekeleza na cha kutotekeleza hivyo anatakiwa kuwa makini na kikosi chake kuhakikisha kinampa taarifa sahihi na si bora liende, swala la tumpe muda miaka yote mitano halikubaliki, vinginevyo na sisi tukifeli mitihani tulewe muda! Rish aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza alipovurunda hakupewa muda na hakubisha, alipisha njia. Nirudi kwenye matusi! Haya matusi yanatumika kama fimbo ya watawala dhidi ya watawaliwa kwani huwa hatupewi huo ushahidi wa hayo matusi zaidi ya kuambiwa wanatukana huku tukishuhudia bakora za umeme zilizotumika Afrika Kusini wakati wa makaburu zikianza kutumika!Kukosolewa kwa staha ni kukosoa kwa kutumia lugha ya staha na sio lugha ya kuudhi au kutukana. Somo hili la ukosoaji wa staha nililianza toka enzi za JK Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! alipokuja JPM, pia tulipiga somo hili Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli na sasa Samia Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda kote huko kunatumika lugha za staha.
P
Siye mke wa Mchengerwa huyu?Ameolewa?
Sasa ana urembo gani huyo, hebu msitufanye tupigwe Ban bureπππ We uoni kuwa ni mrembo
Embu mwangalie vzr tenaSasa ana urembo gani huyo, hebu msitufanye tupigwe Ban bure
Ifunguliwe mahakama ya maadili kushughulika mashauri ya kesi za lugha za staha na kuudhi.Kukosolewa kwa staha ni kukosoa kwa kutumia lugha ya staha na sio lugha ya kuudhi au kutukana. Somo hili la ukosoaji wa staha nililianza toka enzi za JK
P
Ni mrembo kweli kama Spika Dr Tulia umeridhika ππ€£Embu mwangalie vzr tena
Kapige sound upigeKumbe ana mtoto mrembo hivi
Dr tulia hapanaaaaaaa iyo nakataaNi mrembo kweli kama Spika Dr Tulia umeridhika ππ€£
Nisaidie namba zakeKapige sound upige
Au sio kamanda..Anatakiwa awe resilience Kato kama Mimi!