milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Acheni upumbavu Watanganyika, vitu vyetu vinapigwa bei na huyo Mzanzibar lakini hatuchukui hatua zozote badala yake tunaishia kwenye mitandao tu, ni bora tukapiga kimya na kama vipi tunalianzisha kama Watanganyika wa Lamadi walivyoamua kuingia front mbona easy tu.Bora wewe kuna watoto wazazi wao hawajulikan walipo sababu ya mama yako Mama yako anapambana kwa kwa ajili ya familia yenu sio taifa, asha piga mnada bandari ngoja amalizie ngorongoro,
Kuna ambao hii comment imewakera mpaka wanatamani wakupige short ya UMEME wa HIGH VOLTAGE ⚡ ⚡bado hajasema, matusi ya kuanzia november 2024 hadi november 2025 atajinyonga kabisa. Amwambie mama yake atangaze mapema kuwa hana nia kugombea urais 2025 hapo atasalimika kiasi fulani, tofauti na hapo watamtambua kama mama yake ana tamaa sana...kapewa akaimu miaka 4 tu tayari amenogewa anataka na anaona anaweza kumbe embe la kupewa si sawa na la kununua.
****resilient......Anatakiwa awe resilience Kato kama Mimi!
Na wewe ni maiti kama alivyosema Kenyatta!Naunga mkono hoja, sisi kaka zao tumo humu na from time to time tunajitahidi sana kuvifunza adabu hivi vitoto visivyo na adabu Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
Na unajisikia je mzazi wako anapopora raslimali za watanganyika na kuwagawia wajomba zake na wewe kufaidika?"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Hizo pete hizo pete hizo pete"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Mkuu, unafikiri kwanini alichaguliwa viti maalum huko Zenji..🤔
Kama anaumia amwambie mama yake mwakani asigombee jamani...!"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
“Inaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hilo” - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Hizi ni nafasi za watoto wa wakubwaBila shaka ni mbunge wa viti maalumu?? CCM hawaitaki hoja ya kufuta viti maalumu kwa mambo Kama haya,Mama Salma kikwete,na huyu nani sijui...nchi ya masela hi,Pepo ya Mabwege...