Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

Mwambie your mam ,kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, ameanza vurugu za kisiasa na kuharibu, utaratibu WA CCM ,kuanza kampeni kabla ya wakati.
Kili home ni hotel ya Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kilimanjaro.
Mmasi ni mgombea mtarajiwa Jimbo la Moshi vijijini 2025,Ubunge!

Tunaomba umshauri your mam amhamishe au amuondoe Kilimanjaro, anatia aibu kubwa na kukichafua chama.
 
Attachments

  • IMG-20241226-WA0023.jpg
    IMG-20241226-WA0023.jpg
    551.4 KB · Views: 4
  • IMG-20241226-WA0025.jpg
    IMG-20241226-WA0025.jpg
    287.8 KB · Views: 4
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

ā€œInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā€ - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Mtumie your ma'am,huu ujumbe: Watu 11,703 waugua kipindupindu, 145 wafariki dunia tangu Januari
Ijumaa, Desemba 27, 2024
 
Muambie your maam, kiti anachokiomba 2025 mbona kama nafasi hiyo, ni kubwa kuliko yeye !

"Mwambie achague kazi nyingine,hiyo imemshinda
 
Mtumie your ma'am ujumbe huu
Serikali Haina fedha ila imenunulia CCM
1. PIkipiki 4 Kwa Kila Kata Tanganyika yote
2. Land cruiser LX brand new kwa makatibu wa CCM wiilaya zote, Tanganyika
3. Land cruiser LX za makatibu wa CCM yote, Tanganyika
4. Mabasi ya Yutong, kwa ajili ya CCM, mikoa yote ya Tanganyika.

CHA KUFURAHISHA SASA:-
1. Kijiji cha Itumbi na Matondo,kilichopo,chunya,mkoa wa mbeya,, havina maji safi na salama,na vina wakazi zaidi ya 3000
2. Hakuna shule ya sekondari hata Moja.
3. Kms 13 TU za urefu wa Barbara hakuna lami.
4. Hakuna kituo cha polisi na idadi hiyo yote ya watu.
5. Hakuna Kituo cha Afya.
6. Hakuna mochuari ya kuhifadhia maiti.
7. Hakuna ofisi ya uhamiaji,ya kudhibiti wageni kutoka nje
 
LX nne zingeweza kumaliza shida zote hizo bila shaka.

Tafsiri hizo Landcruiser LX zingeweza kumaliza matatizo ya kutosha huko vijijini.
Hizo Yu-tong Kila Moja si chini ya 250mil.
250 x 25 = bilioni nyingi ambazo zingeweza kufanya mambo mengi sana huko vijijini na wanavijiji wakapata ahueni
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

ā€œInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā€ - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Mtumie your maam ,hii video ajikumbushe, naye atumbie tangu aingie ikulu ameokoa fedha zipi
 
Attachments

  • VID-20241228-WA0025.mp4
    13.8 MB
Kwenye hizi ishu za ajali unahisi nn kifanyike? Maana inaumiza sana kupoteza wapendwa wetu kila kukicha.
Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja.
Ajali imetokea Leo tar 28.12.2024
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-28-15-58-17-184_com.instagram.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-12-28-15-58-17-184_com.instagram.android-edit.jpg
    556.1 KB · Views: 6
Msome your ma'am,ujumbe huu:

Ruto aahidi kukomesha utekaji Kenya
Jumapili, Desemba 29, 2024.

Your ma'am,watu wanapotea anapiga kimya,ila kurra anataka!

Your ma'am,anasema Kifo ni Kifo TU,hata ukifa wewe
 
Latra yatia mguu udhibiti wa ā€˜Special hire’
Jumamosi, Januari 04, 2025

Mwambie your Ma'am kuwa Special hire’ ni chanzo kikubwa cha ajali, kibaya zaidi kinauwa watu wengi kutoka familia Moja.

Mwambie mam kuwa LATRA, uongozi ubadilishwe,ili kuleta mabadiliko ya haraka,!
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

ā€œInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā€ - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Barabara kilometa 36 kufungua Wilaya ya Same
Jumamosi, Januari 04, 2025.

Tusaidie kumuombe your ma'am, awasaidie wananchi wa chunya kata ya Matundusi kwenda itumbi kujengewa Barabara kwa kiwango cha lami kms 13 TU ili kufungua uchumi wa huko ,na Hali ya Barbara ni mbaya sana.
 
Ajali zimezidi*Mtalii afariki dunia, watano wajeruhiwa ajalini Ngorongoro*
Jumapili, Januari 05, 2025
 
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

ā€œInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā€ - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
(Wanu) Mtumie mama Yako ,mwambie asikilize hii clip!
 
Attachments

  • 5919930-954df270905012ee1220d2072789d42b.mp4
    6.9 MB
Anachokifanya huyu anameigiza your ma'am! Ila Nia yake na malengo yake sio pole.
 
Attachments

  • VID-20241219-WA0017.mp4
    7.3 MB
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

ā€œInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā€ - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF

View attachment 3075878
Mwambie your ma'am, huyu ni msanii wa mitandaoni,mkoa umemshinda!
 
Attachments

  • IMG-20250107-WA0004.jpg
    IMG-20250107-WA0004.jpg
    112.9 KB · Views: 4
Muonyeshe your maam hii, kitu
 
Attachments

  • IMG-20250107-WA0020.jpg
    IMG-20250107-WA0020.jpg
    63.2 KB · Views: 4
Mwambie your ma'am, Kuna Hofu ya kipindupindu iliyotanda, na shule zikifunguliwa Mkoa wa Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya hana aibu,Wala hajui majukumu yake!!
Mbeya ni pachafu sana.
Jumanne, Januari 07, 2025
 
Mmmh!😳
 
Attachments

  • 5923164-bf92b80d6f802322d91df6811af2355f.mp4
    958.8 KB
Back
Top Bottom