Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jumbo maalum la chumbani kwa mamaNi Mbunge wa wapi kwanza...š¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumbo maalum la chumbani kwa mamaNi Mbunge wa wapi kwanza...š¤
Kwenye hizi ishu za ajali unahisi nn kifanyike? Maana inaumiza sana kupoteza wapendwa wetu kila kukicha.
Mtumie your ma'am,huu ujumbe: Watu 11,703 waugua kipindupindu, 145 wafariki dunia tangu Januari"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
āInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Mtumie your ma'am ujumbe huu
Serikali Haina fedha ila imenunulia CCM
1. PIkipiki 4 Kwa Kila Kata Tanganyika yote
2. Land cruiser LX brand new kwa makatibu wa CCM wiilaya zote, Tanganyika
3. Land cruiser LX za makatibu wa CCM yote, Tanganyika
4. Mabasi ya Yutong, kwa ajili ya CCM, mikoa yote ya Tanganyika.
CHA KUFURAHISHA SASA:-
1. Kijiji cha Itumbi na Matondo,kilichopo,chunya,mkoa wa mbeya,, havina maji safi na salama,na vina wakazi zaidi ya 3000
2. Hakuna shule ya sekondari hata Moja.
3. Kms 13 TU za urefu wa Barbara hakuna lami.
4. Hakuna kituo cha polisi na idadi hiyo yote ya watu.
5. Hakuna Kituo cha Afya.
6. Hakuna mochuari ya kuhifadhia maiti.
7. Hakuna ofisi ya uhamiaji,ya kudhibiti wageni kutoka nje
Mtumie your maam ,hii video ajikumbushe, naye atumbie tangu aingie ikulu ameokoa fedha zipi"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
āInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja.Kwenye hizi ishu za ajali unahisi nn kifanyike? Maana inaumiza sana kupoteza wapendwa wetu kila kukicha.
Barabara kilometa 36 kufungua Wilaya ya Same"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
āInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
(Wanu) Mtumie mama Yako ,mwambie asikilize hii clip!"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
āInaumiza kama mtoto kuona mzazi anarushiwa maneno mitandaoni na katika kipindi ambacho muda wake wote amewekeza kwa Taifa, muda mwingi anakuwa mbali na familia, lakini ni Mtu imara sana namfahamu hajawahi kutetereka kwenye hiloā - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
"Moja kati ya changamoto kubwa ninayokutana nayo katika uongozi wangu ni wananchi wangu pamoja na Watu wengine kuhisi naweza kufanya kila kitu kwa kigezo kwamba ni mtoto wa Rais, sio kweli kwamba naweza kufanya kila kitu na kuna wakati nazidiwa" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF
View attachment 3075878
Mwambie your ma'am, huyu ni msanii wa mitandaoni,mkoa umemshinda!"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti wa MIF