Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wadhee wa kodhi nne ππππ
Atarefuka huyo mkuu.. miaka 17 nilikuwa kidato cha tatu kama mwanao na nilikuwa mdogo haswa kwa miaka ile nilionekana kama sinto kuwa mrefu ila asaiv ni miaka 17 imepita urefu wangu ni 5.7 inch.Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Jamaa yako eeehπ€£π€£π€£Usihofu mkuu,
Kuna mtoto wa jamaa yangu alikuwa mfupi sana, hadi anamaliza f iv alikuwa mfupi mno.
Nilishangaa kukaa mwaka bila kuonana siku nilipomuona sikuamini ni yeye, karefuka hatari.
Hata hivyo, akiwa mfupi pia ni kudra za Mungu.
Nani kakwambia wafupi wanateseka??Pole sana, kama ni mwanaume atateseka sana kwenye hii dunia, labda aje awe na pesa nyingi ama maisha ya kawaida standard ,,, bora ke ! Kwa ujumla sipendi ufupi
Unajua nimerudia kusoma unasema mtoto ana urefu wa tofali 4??? Mhhh
Kuna kijamaa hapa kitaa kina 4.7 feet kimekomaa halafu kibishi ile mbaya na kina mihasira kidogo tu eti kitanichapa makofi mtu mwenye 5.9 feet.Balaa yanii... π π π halafu wana short temper kama miili yao
Yani nimerudia nikaogopa...nikasema labda mtoto ni mbilikimo...form 3 hafiki kwny kozi mojaNafikiri amekosea hesabu. Kozi nne haifiki kiunoni. Yaani futi mobility hivi unusu
Hebu tueleze hii imekaaje.Huyo ni NYADUNDO.
Ndio madhara ya kula kinyeo cha mama mjamzito badala ya kibwenye.
Cc: secretarybird Mbaga Jr Extrovert Half american Balqior Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Nadhani amekoseaNi serious kweli?, kozi ya nne hii hii ya kina fundi side ninayoijua.
Sasa kama we mwenyewe Andunje, inawezekanaje upate mtoto ngongoti mkuu?Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Kama nakiona...hahahah huku anatafuna meno...ahahahKuna kijamaa hapa kitaa kina 4.7 feet kimekomaa halafu kibishi ile mbaya na kina mihasira kidogo tu eti kitanichapa makofi mtu mwenye 5.9 feet.
Kimakonde halafu ni kishabiki cha Uto, kina mikawara wakati nikiamua kukichezesha mtama mmoja na kukizimisha kabisa inawezekana ndani ya 30 secs tu
"Your fight is over, commander".Ndo mana watu wa The 100 series walikujaga na neno endapo mtu akifa husema "Your fight is over"
Kwenye hii dunia hakuishi matatizo kila uchwao! Yani ni mapambano mwanzo mwisho! Umeamzaa mtu mara tena harefukiπ