Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Ila hao global TV mbona Wana dharau sana?yaani chamazi ni Kijiji?au Kuna Chamazi mbili hapa Dslam?
Yaan ubusy wa CHAMAZI mpaka mbande mpaka kisewe unazidi majiji ya Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma....

Maana,
Mwanza siku ya jumapili saa mbili usiku vi haice (vipanya) vinakata barabarani havionekani wakati barabara za CHAMAZI zipo busy 24/7 ☺️😊
 
Omba tu yasikukute ! Katika hizo harakati za kutaka kupoteza kila mtu aliyehusika unaweza kujikuta unaangukia jela maisha yako yote na usifanikishe kile ulichokitaka..
Hakuna namna ya kupambana na mabalaa omba tu usipatwe nayo
Inaumiza mnoo

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante shemeji nimelaribia Haleluyah kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Karibu sana aaariririririrrrrrrrrrrr
Harusi tunayo sie πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Nimeshangaa sana kupata kijijini
 
Mahojiano na huyo mtoto yako wapi sasa!
mbona mnaleta habari nusu nusu.... kweli Tz hakuna waandishi wa habari. Kuna wambea tu.
 
Karibu shemeji nakusikiliza kwa makini kabisa shem shem wetu
Kwani huyu ni Mwanaume au mwanamke?mbona alianza Kwa kumwita bby wako sweetheart?halafu saa hizi anakuita shemeji?
 

Chamanzi ni kijijini.
 
Huyo kapatikana ila tayari matundu yote yako wazi washukuru wamemkuta mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…