Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Hahaha....
 
Mimi nilivutiwa na binti mmoja hapa jf kwa michango yake nikaingia PM akanipa namba tumechat WhatsApp baada ya mda akaniambia we mtoto mdogo acha kunisumbua lakini hakuna hata mmoja aliyemuona mwenzake nikajua kweli jf kuna wabibi nimeacha shobo kabisa tangia siku hyo na wanawake wa jf.
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamaniπŸ€¨πŸ™„
Nilitaka nitoe mfano huu kmbe Usha jitetea Tyr πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…