Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba.

Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
 
Wanaumeeee badooo
Kwa heshimaaa

26 kipaji.. mtoto mmoja wa chamanzi mbande hapa....
 
Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba.

Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
45 kipaji hapa hahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom