and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado wasiojulikana na ndugu wa Mchongo wanaohitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
siyo lazma uishi kwa mshara acha kukariri maishaMwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado ndugu wanahitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
Mwamba hakua na side hustle zaid ya Rushwa. Baada ya kukataa Moto kaangakie familia yake utasikitikasiyo lazma uishi kwa mshara acha kukariri maisha
Pesa halali sio za wiziTafuta sana pesa mkuu
Masikini ndo wanajuwa kila tajiri kapata hela kwa kuibaPesa halali sio za wizi
Yule sio tajiri Bali alikua na cheo/dhamana ambayo imekoma baada ya kifo. Hata Mshahara mwezi huu hatapataMasikini ndo wanajuwa kila tajiri kapata hela kwa kuiba
hiyo namba siyo mchezo lazma uhesabu vidole njiani ukiwa mwenyewe kama wazee wa yanga dhidi ya usm algerInawezekana.
Babu yangu hakuwa na mshahara ila kalea watoto 23
Wewe kinakuwasha niniMwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado ndugu wanahitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
Si ndo maana upo kama zombi!Inawezekana.
Babu yangu hakuwa na mshahara ila kalea watoto 23