Serikalini ukifikia cheo Cha kuwa mkurugenzi wa shirika Fulani unapata nyumba mbili Bure,gari mbili za kutembelea na moja ya mke wako na kila baada ya miaka miwili unapeza gari zingine mpya na nyumba kufanyiwa ukarabati na watoto wako wanne kusomeshwa Bure shule utakayo au chuo hata kama ni harvad university,pia mshahara wako ni mnono na kujitengenezea safari za mara Kwa mara ili kujilioa posho.Hivyo ukijumlisha na vitega uchumi ulivyojiwekeza pamoja na pesa za bwerere za walipa Kodi unaweza kuhudumia hata watoto miambili na hakuna shida kabisa