Mtu anawezaje Kulea watoto 15, wake 5 na ukoo bado unakutegemea

Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado ndugu wanahitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
Acha kufuatilia maisha.ya watu, akiwa na watoto na wake au mi chepuko mingi, wewe inakusaidia nini!!! Amekuja kuomba msaada Kwako??? Acha ulafa wewe boya
 
Uzi ufungwe.
 
Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado ndugu wanahitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
Usikariri maisha mkuu. Alikua ni muajiriwa wa serikali ndio, but pia alikua na biadhara zake binafsi na shares kwenye kampuni kubwa kadhaa hapa nchini na nnje ya nchi uwezo wa kua hata na wake 7 na michepuko 20 alikua nao, if umezoea kuishi kwa kutegemea salary ni wewe mkuu
 
Si kweli. Home alikua na pagala. Baada ya ajali ndo mafundi kibao wakapelekwa kumalizia fasta kuficha aibu. Tizama kwenye YouTube kama unaona nyumba ikionyeshwa zaidi ya tent lililopambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…