Lumumba Kuna mambo!!!!Wewe ushazoea udaku wa kina Diamond na Zali mkuu. Haya mengine hauyawezi.
Nenda jukwaa la muziki utakutana na mada ambazo wewe utazielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumumba Kuna mambo!!!!Wewe ushazoea udaku wa kina Diamond na Zali mkuu. Haya mengine hauyawezi.
Nenda jukwaa la muziki utakutana na mada ambazo wewe utazielewa.
Unatakiwa ujue kuwa 2025 hapatakuwa na uchaguzi mkuu.Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu.
1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani chenye sera nzuri, zinazoeleweka na kutekelezeka. Chama hicho kiwe na sura ya kitaifa, kiwe na viongozi wakweli, wenye maono na misimamo thabiti ya kuikomboa nchi.
Kiwe na mifano hai ya utekelezaji wa sera zake kupitia chama husika ili kiweze kuaminika machoni mwa watanzania wengi. a) sio mtu useme chama chetu kina misingi ya demokrasia wakati mwenyekiti wa chama ambacho kingekuwa mfano wa demokrasia hiyo ana miaka 20 madarakani.
b) Sio mtu useme chama chetu ni cha maendeleo, wakati wanaoendelea katika chama ni mwenyekiti wa chama taifa na genge lake, huku chama chenyew kikiwa hakina hata ofisi ya kufanyika mkutano wa ndani.
c) sio mtu useme chama chetu kitasimami utawala bora na haki, huku ndani ya chama chenyewe hakuna anaeweza kuongelea lolote mbele ya mwenyekiti wa chama au makamu wake.
2) Pili: Anahitajika kuchaguliwa mgombea ambae hana makando kando ya uongo, uoga, unafiki na mwenye uwezo wa kweli wa kusimamia sera za chama chake bila kuyumbishwa na mtu yoyote iwe ndan ya chama au nje ya chama.
a) Sio kiongozi anakuwa na kauli za kilaghai laghai kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, na kiuongozi (kama tunavyoona hapo chini pichani) bila kujali madhara yatokanayo na ulaghai huo. Mtu wa aina hii ni ngumu kuchaguliwa maana watanzania wa sasa sio wale wa 2001, kule Zanzibar ambapo watu walikufa, kujeruhiwa na kufungwa, huku muhusika aliepiganiwa (aliekuwa katibu mkuu wa chama, na mgombea wa upinzani) akiwa Saudia Arabia kula tende na maswaiba zake.
Mgombea akiwa hana msimamo thabiti wa kusimamia sera au hoja zake mwenye, basi hata tume ya taifa ya uchaguzi ya Marekani ikija kusimamia uchaguzi bado ataangukia pua tu.
3) Tatu: tume huru isiyoegemea upande wowote wa kisiasa. Tume iwe na viongozi kutoka vyama mbali mbali vya kisiasa na kiraia ili kujenga sura ya utaifa katika tume hiyo.
Ni hayo tu ninayoyaona mimi, katika kuijenga Tanzania bora zaidi ya kesho.
Asanteni sana.
View attachment 2319901View attachment 2319903View attachment 2319904View attachment 2319906View attachment 2319907View attachment 2319909View attachment 2319911View attachment 2319912
Umenena !!Inshaallah. Ki ukweli kuna watu wameshaichoka CCM, ila sasa hawaoni mbadala wa chama cha kuitoa CCM madarakani. Vyama vyote ukivichunguza havina tofauti na CCM mpaka inafikia kipindi watu wanahisi huenda huu upinzani ulitengenezwa maalum na CCM ili kuihadaa dunia kuhusu demokrasia nchini. Kwahiyo misaada inayoletwa na mabeberu kwa ajili ya kukuza na kuimarisha demokrasia inaliwa na wajanja wachache walio ndani ya serikali, CCM na upinzani butu.
Na bora iwe hivyo !!Unatakiwa ujue kuwa 2025 hapatakuwa na uchaguzi mkuu.
Tutakuwa hatua za mwisho kukamilisha uandikwaji wa KATIBA mpya itakayokamilika 2026.
Zingatia Hilo.
Jf wapo watu makini sana huo ndio Ukweli !!Sifa hizo mimi ninazo.
Wana Jamii Forum kwa umoja wetu tuundeni chama chetu cha siasa kitachoongozwa na:
1) Mwenyekiti: Maxence Melo
2) M/mwenyekiti: Pascal Mayalla
3)Katibu mkuu: Mshana.
Kwa uongozi huu hapo juu CCM inaaga mchana kweupe
Mkuu ukisoma post yangu namb #20 utaelewa tu kwamba matukio mengi yanaweza kuwa ya kutengenezwa ili watu wavute mpunga kwa njia ambazo mimi na wewe hatuzijui. Tusikimbilie kuamini kila linalosemwa na mwanasiasa kwani tumeshajifunza mengi kupitia kauli zao.Mbona hatuulizi juu Mzee Mrema kwani naye ana muda mrefu sana ktk harakati zake.
Kwanini iwe shida kwa huyu anayejenga Tasisi nakuonekana imara katka ushindani kwani tukumbuke ndo mshindani wa kweli na wa mfano wa kuigwa.
Tukumbuke sio mwepesi ndo maana hoja zinazomhusu haziishi kutoka kwetu.
Mfano ni madhila aliyoyapitia yy na wanaomzunguka.
Je ni nani nani nwingine aliyeyapitia aliyoyapitia.
Tuje na hoja dhabiti tutaeleweka vizuri sana
Uchaguzi utakuwepo ila utakuwa sio wa kishindani sana kutokana na watu kusubiri mchakato wa katiba mpya kama unavyosema.Unatakiwa ujue kuwa 2025 hapatakuwa na uchaguzi mkuu.
Tutakuwa hatua za mwisho kukamilisha uandikwaji wa KATIBA mpya itakayokamilika 2026.
Zingatia Hilo.
Mdude anaandaliwa kugombea Mbeya, baada ya Sugu kutimkia CCM kumuunga mkono raisi Samia kabla 2025. Mark my word.Asimame mdude
Kwa sasa hatuna upinzani kabisa bali walamba asali na chawa akina Mbowe, Kabwe Zitto......Mkuu umesahau kuorodhesha oxygen ya mwisho ambayo ni upinzani butu. Laiti tungekuwa na upinzani imara moto ungewaka.
Mbona hatuulizi juu Mzee Mrema kwani naye ana muda mrefu sana ktk harakati zake.
Kwanini iwe shida kwa huyu anayejenga Tasisi nakuonekana imara katka ushindani kwani tukumbuke ndo mshindani wa kweli na wa mfano wa kuigwa.
Tukumbuke sio mwepesi ndo maana hoja zinazomhusu haziishi kutoka kwetu.
Mfano ni madhila aliyoyapitia yy na wanaomzunguka.
Je ni nani nani nwingine aliyeyapitia aliyoyapitia.
Tuje na hoja dhabiti tutaeleweka vizuri sana
Tukuchague wewe mkuu. Ni vyema ukajitokeza kugombea naamini sifa ulizotaja unazoHabari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu.
1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani chenye sera nzuri, zinazoeleweka na kutekelezeka. Chama hicho kiwe na sura ya kitaifa, kiwe na viongozi wakweli, wenye maono na misimamo thabiti ya kuikomboa nchi.
Kiwe na mifano hai ya utekelezaji wa sera zake kupitia chama husika ili kiweze kuaminika machoni mwa watanzania wengi. a) sio mtu useme chama chetu kina misingi ya demokrasia wakati mwenyekiti wa chama ambacho kingekuwa mfano wa demokrasia hiyo ana miaka 20 madarakani.
b) Sio mtu useme chama chetu ni cha maendeleo, wakati wanaoendelea katika chama ni mwenyekiti wa chama taifa na genge lake, huku chama chenyewe kikiwa hakina hata ofisi ya kufanyika mkutano wa ndani.
c) Sio mtu useme chama chetu kitasimamia utawala bora na haki, huku ndani ya chama chenyewe hakuna anaeweza kuongelea lolote mbele ya mwenyekiti wa chama au makamu wake.
2) Pili: Anahitajika kuchaguliwa mgombea ambae hana makandokando ya uongo, uoga, unafiki na mwenye uwezo wa kweli wa kusimamia sera za chama chake bila kuyumbishwa na mtu yoyote iwe ndani ya chama au nje ya chama.
a) Sio kiongozi anakuwa na kauli za kilaghailaghai kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, na kiuongozi (kama tunavyoona hapo chini pichani) bila kujali madhara yatokanayo na ulaghai huo. Mtu wa aina hii ni ngumu kuchaguliwa maana watanzania wa sasa sio wale wa 2001, kule Zanzibar ambapo watu walikufa, kujeruhiwa na kufungwa, huku muhusika aliepiganiwa (aliekuwa katibu mkuu wa chama, na mgombea wa upinzani) akiwa Saudia Arabia kula tende na maswaiba zake.
Mgombea akiwa hana msimamo thabiti wa kusimamia sera au hoja zake mwenye, basi hata Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Marekani ikija kusimamia uchaguzi bado ataangukia pua tu.
3) Tatu: Tume huru isiyoegemea upande wowote wa kisiasa. Tume iwe na viongozi kutoka vyama mbali mbali vya kisiasa na kiraia ili kujenga sura ya utaifa katika tume hiyo.
Ni hayo tu ninayoyaona mimi, katika kuijenga Tanzania bora zaidi ya kesho.
Asanteni sana.
View attachment 2319901View attachment 2319903View attachment 2319904View attachment 2319911View attachment 2319912
Kuna tofauti kubwa kati ya "kuona MBELE" na "kuona MBALI".Uchaguzi utakuwepo ila utakuwa sio wa kishindani sana kutokana na watu kusubiri mchakato wa katiba mpya kama unavyosema.
Ambao inawezekana ukaanza baada ya 2026.
Ili kuelewa chochote, ni lazima kwanza kichwani akili iwemo maana ndiyo inayokupa uwezo wa kuelewa jambo.Nimerudia kusoma mara mbili, nmetoka Kapa!!!!
Kama umemuelewa ni dhahiri akili Yako na ya mwandishi zipo sawa.Ili kuelewa chochote, ni lazima kwanza kichwani akili iwemo maana ndiyo inayokupa uwezo wa kuelewa jambo.
Sawa Mku.Mkuu ukisoma post yangu namb #19 utaelewa tu kwamba matukio mengi yanaweza kuwa ya kutengenezwa ili watu wavute mpunga kwa njia ambazo mimi na wewe hatuzijui. Tusikimbilie kuamini kila linalosemwa na mwanasiasa kwani tumeshajifunza mengi kupitia kauli zao.
Mfano chukulia 2008 mwanasiasa anakwambia Lowasa ni fisadi na ushahidi anao, afu 2015 mwanasiasa huyo huyo anakwambia Lowasa sio fisadi, kama kuna mtu ana ushahidi na ufisadi wake basi apeleke ushahidi huo polisi nk. Nafikiri Lissu anaweza kuwa mpinzani wa kweli ndo maana yalimkuta yaliomkuta. Na kamwe mpinzani wa kweli ni ngumu kupewa nafasi ya juu (mwenyekiti) kuongoza chama, maana anaweza kubadili maelewano yaliopangwa na waanzilishi wa system ya vyama vingi.
Ukweli mchungu,Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.