Mtu huyu akisimama na mgombea wa CCM mwaka 2025, ni lazima CCM tuangukie pua

Sifa hizo mimi ninazo.

Wana Jamii Forum kwa umoja wetu tuundeni chama chetu cha siasa kitachoongozwa na:
1) Mwenyekiti: Maxence Melo
2) M/mwenyekiti: Pascal Mayalla
3)Katibu mkuu: Mshana.

Kwa uongozi huu hapo juu CCM inaaga mchana kweupe
 
Unatakiwa ujue kuwa 2025 hapatakuwa na uchaguzi mkuu.

Tutakuwa hatua za mwisho kukamilisha uandikwaji wa KATIBA mpya itakayokamilika 2026.

Zingatia Hilo.
 
Umenena !!
 
Mkuu ukisoma post yangu namb #20 utaelewa tu kwamba matukio mengi yanaweza kuwa ya kutengenezwa ili watu wavute mpunga kwa njia ambazo mimi na wewe hatuzijui. Tusikimbilie kuamini kila linalosemwa na mwanasiasa kwani tumeshajifunza mengi kupitia kauli zao.
Mfano chukulia 2008 mwanasiasa anakwambia Lowasa ni fisadi na ushahidi anao, afu 2015 mwanasiasa huyo huyo anakwambia Lowasa sio fisadi, kama kuna mtu ana ushahidi na ufisadi wake basi apeleke ushahidi huo polisi nk. Nafikiri Lissu anaweza kuwa mpinzani wa kweli ndo maana yalimkuta yaliomkuta. Na kamwe mpinzani wa kweli ni ngumu kupewa nafasi ya juu (mwenyekiti) kuongoza chama, maana anaweza kubadili maelewano yaliopangwa na waanzilishi wa system ya vyama vingi.
 
Unatakiwa ujue kuwa 2025 hapatakuwa na uchaguzi mkuu.

Tutakuwa hatua za mwisho kukamilisha uandikwaji wa KATIBA mpya itakayokamilika 2026.

Zingatia Hilo.
Uchaguzi utakuwepo ila utakuwa sio wa kishindani sana kutokana na watu kusubiri mchakato wa katiba mpya kama unavyosema.
Ambao inawezekana ukaanza baada ya 2026.
 
Mbowe enzi za JPM sio Mbowe (mlamba asali) wa SSH.
 
Tukuchague wewe mkuu. Ni vyema ukajitokeza kugombea naamini sifa ulizotaja unazo
 
Uchaguzi utakuwepo ila utakuwa sio wa kishindani sana kutokana na watu kusubiri mchakato wa katiba mpya kama unavyosema.
Ambao inawezekana ukaanza baada ya 2026.
Kuna tofauti kubwa kati ya "kuona MBELE" na "kuona MBALI".

Rudia kusoma nilichoandika.
 
Sawa Mku.
Ila kumbuka aliyokutana Mbowe na wengine wengi wa chama hicho ndo maana Kaila mwezi tunapata habari za kuachiwa Wanachadema walioko magerezani.
Kitakachokuaminisha ni haya matukio.
Mm ni mwanaccm halisi ambaye ninayeshiriki kura zote katika Tawi langu kwani Chadema wanajitahidi zaida hata chama changu.
Kama ulimsikiliza Mzee Msuya ktk kipindi cha dakika 45 kuna jambo utaliona
 
Ukweli mchungu,

Kukosa itikadi na misimamo kunaidhohofisha CHADEMA pakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…