Kuna mwamba nilimwambia anitumie CV yake. Inaelekea ali edit ya mtu na alicho edit ni jina tu. Vilivyobaki vyote aliacha kama vilivyo ikiwemo mwaka wa kuzaliwa (mmiliki wa CV alizaliwa 1985, dogo wa 1998) na jinsia, mwenye CV alikuwa wa kike na dogo wa kiume ila kwa uvivu wa fikra aliacha hivyo hivyo Female.Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Alısoma chuo ganiNina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Asilimia ya vijana wanaomaliza vyuo vya bongo wako hivyo. Hii ni kwa sababu vyuo na shule siku hizi elimu ni ya kiwango cha chini. Wanakariri tu majibu ya mitihani.Huyu ameenda chuo, hajasoma
Wana ambilika basiHuko vyuoni wanakaririshwa tuu, ili wajibu mitihani wafauru! Hawafundishwi uhalisia wa maisha na jinsi ya kutumia elimu ya kwenye makaratasi iwe practical. Mwambie tuu ukweli wa maisha achangamke!!
Uyo kiboko aseKuna mwamba nilimwambia anitumie CV yake. Inaelekea ali edit ya mtu na alicho edit ni jina tu. Vilivyobaki vyote aliacha kama vilivyo ikiwemo mwaka wa kuzaliwa (mmiliki wa CV alizaliwa 1985, dogo wa 1998) na jinsia, mwenye CV alikuwa wa kike na dogo wa kiume ila kwa uvivu wa fikra aliacha hivyo hivyo Female.
Baadhi ya watu ni naturally stupid, hata ukiwashika mkono bado watadondoka.
Hapana nimeandika mwenyewe style siwezi andikiwa ata siku mmojBila shaka hata hiyo CV yako umeinakili kwa mtu.
Mtie banzi akili imkae sawaNina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Inakatisha tamaa mm kipnd nipo chuo mwaka wa pili lctr wetu alitoa agizo kila mtu aandae cv ilikuwa kama assgmnt ukikosea unarudia mpka namaliza najua kuandaa cv vzr sasa how comes kwa yeye kwamba chuo hskikuwafundisha cv
KwakweliMtie banzi akili imkae sawa
Wapi afundishweKuna vitu sio vya kufundishwa darasani mkuu.
Ni kipenzi cha wazazi wako. Wanaita mtoto wa kustaafu.Kitu anapenda ni kukaa mwenywe tu
Yupo na gf nishamktaza huyu kigf wake ni malaya sana
Yupo home na wazee
Sasa alipataje usajili wa chuonjBora ya wewe amerudi na vyeti, wangu ata vyeti amegoma kurudi navyo ukimuuliza anakuambia 4m4 hakumaliza ada.
au alifeliNi dr wa mifugo ase huwa ananipa hasira sana
Endelea kuwa mwalimu wake mpaka atakapofanikisha kuandaa CV, usimchoke.Wapi afundishwe
Last born ni myths tu kwetu waswahili, huwa haina impact yoyote kwenye maishaNi last Born mkuu
Basi awe anaelimikaElimu haina mwisho, wewe kama ndgu yake muelekeze namna anavyopaswa kua ama vile ungependa awe au maono yako juu yake.
Usiruhusu apotee na uwezo wa kumsaidia unao, usiishie kumsimanga na kumnenea mabaya mitandaoni, muelikishe.
Usiassume kua anajua, mpe elimu unayoona hana.
Ase ujakoseaNi kipenzi cha wazazi wako. Wanaita mtoto wa kustaafu.
Sifa zao.
1. Huwa wazee wanawapata baada ya kujipata au baada ya kutoka masomonj haswa hawa wenye elimu.
2. Waweza kuta ni mtoto pendwa au kutokana na jinsi yake kuwa peke yake au kuugua kwa.muda meefj alivyokuwa mtoto so alivyopnaa alionekana kama dhahabu.
Cha msingi ewwe dili na hamsini zako. Baba na mama yake wapo