Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

gigabyte,

Mkuu nashukuru kwa kuweka maoni yangu katika mtiririko bora kabisa. Nilikuwa na mawazo kama haya ila nilikuwa nakosa namna bora ya kuyaweka kama ulivyofanya wewe.

Lengo la huu uzi wa Paskali ni kutaka kujifanya mzalendo, au mwenye uchungu sana na watu kuombea mabaya nchi hii kwa kuchafua haiba ya CHADEMA.

Kwani ni kweli ugonjwa huu unakuja kwenye nchi kwa kuombwa na raia au mtu wa chama fulani? Sipendi kumuita Paskali mnafiki kwakuwa namuheshimu, ila nashindwa kujua namtengaje na unafiki.
 
Kuna Nyuzi zinaanzishwaga halafu zikifika katikati unashindwa kuelewa lengo la mleta mada na wachangiaji kwa ujumla........
 
a comment from an idiot, kwa hiyo mbaya wako akiondoka wewe unaona utachaguliwa kubaki au mamako, babako, na ndugu zako wao watabaki kwa xbu utakuja kuchagua mbaya wako tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha CCM wote wafe hata Kama na mimi nikifa fresh tu naamini kitakuja kizazi chenye akili timamu na sio akili maji wakina kabudi na polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii miaka minne imetengeneza mashetani wengi tu,
Nani kawatengeneza = sisi wenyewe#
Kwa vipi = kutokana na ukatili unaofanywa hapa nchini kuhalalishwa, Huku ukipigiwa makofi bila kukemewa na yeyote#
Nani anawajibika = Chama kilichoko madarakani na serikali yake, viongozi wa dini wanafumbia macho kila baya linalotendeka na wakati mwingine kubariki kabisa.
Madhara yake = Watu hawaoni faida ya sisi kuwa taifa, wameshajua sisi sio wamoja tena, Hakuna utaifa tena, hatustahili kuwepo, taifa lipo kwa manufaa ya wachache na limegeuka kuwa la kikaburu
Na kwa kiwango fulani watu wanaona Hawana mtetezi wala mtu wa kuwasemea Maaskofu na Mashekh ambao huko nyuma, kwenye tawala zilizo pita walikuwa sauti iletayo matumaini kwa walio setwa, Leo wamekuwa mafarisayo na manafiki wakubwa wamewatelekeza kondoo nyikani na kusujudia vinono vilivyopo mezani kwa watawala.
Katika hali ya Aina hii watu kujiripua kwa maneno au vitendo huwa ni kawaida tu.
 
Pascal si wote wanaochangia humu Jf ni wazima wengine wavuta bangi sasa akutane na post wakati limepanda kichwani matokeo yake ndo kutapika upupu.
 
Mods

Technicaly apigwe ban ya maisha

Sio comment nzuri ile

Kwanini?? Ule ni mtazamo wake na ametoa sababu. Mpinge kwa hoja. Kuna watu wanatoa maoni kila siku humu kuwa wapinzani wauawe tu, na kuna walio pigwa risasi, kuuawa, kuteswa, wengine hawajulikani walipo, tayari. Mbona hujawahi kutoa ushauri kuwa wapigwe ban ya maisha. Ficha upumbavu wako.
 
Kabla ya kumshambulia mtoa comment kwanza unatakiwa uzingatie vitu viwili:

1. Lugha, kwa bahati mbaya kwa kiswahili sijui tunasemaje lakini kwenye english kuna neno literal or literally, literal meaning ni kumaanisha kitu kwa maana yake ya asili. unatakiwa kwanza kujiuliza je mtoa comment alisema hicho kitu literally or it was some sort of showing frustrations?

2. Je kama alimaanisha literally kwa nini tumefika huko? kuna jamaa mmoja mwanafalsafa alisema mtu anakuwa mzalendo na nchi yake pale tu nchi yake inapomtendea haki. Kama nchi yako haikutendei haki huwezi kuwa mzalendo nayo, uminywaji na ukiukaji haki unamfanya mtu ajione siyo sehemu ya ile jamii, kwa hiyo hata akiitendea ubaya ni sawa.! Kwa maana nyingine msidhani uasi katika nchi zingine ulianza kwa bahati mbaya.., ulianza hivi hivi. Fikiria tu mwenye frustrations za hivi ukimkabidhi bomu la kujivisha ni nini kitafuata? yuko tayari kujitoa muanga kwa sababu ya uonevu.

That being the case tusikimbilie kulaumu badala yake tujiulize tumekosea wapi mpaka tukafika hapa. Let's go back to the drawing board though kwa ukichwa ngumu wa "viongozi" wa sasa jambo hili si rahisi we have to face the consequences of our actions.
 
Duh......... Tunaelekea gizani kwa maoni ya namna hii!
 

hoja haiwezi utake kifo kwa familia yako na bado akaonekana ana akili!!! haoa mmeshindwa
 
Kwa hiyo wewe Pasco unaipenda sana Tanzania kuliko sisi,si ndiyo? Magufuli anafanya vitendo vya uvunjifu wa amani humkemei unaogopa kutekwa.

Hata mimi nasema Corona Virus, waivamie Tanzania tena Corona ianzie Ikulu, na Bungeni kisha ihamie ofisi za CCM Lumumba iwamalize wote hao wauaji washenzi wa CCM, Corona Virus wanaionea Italy taifa la watu wastaarabu badala ya kuja Tanzania kwa washenzi.

Corona Virus njoo haraka Tanzania uonevu umezidi sana, ujio wako Corona utwapa wapinzani ahueni kubwa na watapumua.
Wewe Pasco vp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…