Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
gigabyte,
Mkuu nashukuru kwa kuweka maoni yangu katika mtiririko bora kabisa. Nilikuwa na mawazo kama haya ila nilikuwa nakosa namna bora ya kuyaweka kama ulivyofanya wewe.
Lengo la huu uzi wa Paskali ni kutaka kujifanya mzalendo, au mwenye uchungu sana na watu kuombea mabaya nchi hii kwa kuchafua haiba ya CHADEMA.
Kwani ni kweli ugonjwa huu unakuja kwenye nchi kwa kuombwa na raia au mtu wa chama fulani? Sipendi kumuita Paskali mnafiki kwakuwa namuheshimu, ila nashindwa kujua namtengaje na unafiki.