BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Siku zote kiboko kitabaki matakoni mwa mpumbavu. Ukitaka ujue, hiyo corona iingie, alafu uende magereza kutia upumbavu wako uone kiboko chake!Kwahiyo wew ulitakaje, serikali yako iendelee kutesa upinzani na kuwavunja mikono.. Si bora uje ili hao police na serikali yako iogope kuwashika upinzani na ipambane na corana na ikiwezekana watu Wa ccm waupate huo ugonjwa ili waache kuwatesa na kuwavunja mikono wapinzani.. Tena na wewe ulivyo mnafiki uupate ili uache unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Linawezekana vipi hili?
unless ni mnufaika
Kwa username unayotumia matusi hayastahili kutoka kwako lakini wewe ndio kwanza unayaporomosha, Mungu akurehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio napata picha zaidi kuwa wenye akili nzuri hawawezi kuishi upinzani(chadema) watakaweza ni wale waliofyetuka akili na kupigwa segereaKwahiyo wew ulitakaje, serikali yako iendelee kutesa upinzani na kuwavunja mikono.. Si bora uje ili hao police na serikali yako iogope kuwashika upinzani na ipambane na corana na ikiwezekana watu Wa ccm waupate huo ugonjwa ili waache kuwatesa na kuwavunja mikono wapinzani.. Tena na wewe ulivyo mnafiki uupate ili uache unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ije tu na ianze na wapuuzi kama nyie mnaoshangilia maovu kisa tu yanawapata watu mnaotofautiana nao itikadi.Umehamisha magoli
Deal na la kuvunjwa mkono bila kuombew mabaya
Corona ina macho sasa itachagua nani cdm nani ccm?
Kwanini sasa usipambane wewe mwenyewe na mbaya wako kuliko kutaka tukose wote hadi ambao hatuhusiki na kuwapoteza hao wawakilishi wako,hasa ukizingatia idadi kubwa ya wawakilishi wako wameamua wenyewe kuungana na mbaya wako.Wawakilishi wangu ndiyo nguvu yangu. sasa hao wanapotezwa na Jiwe. hata Jiwe anapotza wapendwa wangu kama itakavyokuwa Corona, hawana tofauti na Jiwe
Ndio napata picha zaidi kuwa wenye akili nzuri hawawezi kuishi upinzani(chadema) watakaweza ni wale waliofyetuka akili na kupigwa segerea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndio kusema hata huyu aliyeombea mabaya nchi ya Tanzazania atadakwa kama Eric! Basi P anatisha.pasco hujaacha tu tabia ya kuwachongea wanaotoa mawazo ambayo wewe huyapendi?.
inasemekana hata kabendera ulimchongea hivihivi, baadae yakaja kumkuta ya kumkuta.
Kusambaa kwa Corona kamwe hakutasababishwa mtu fulani kutaka au mtu fulani kutotaka. Corona na magonjwa mengine hutokeza kwa njia za kisayansi pekee.
Hapa naona mjadala mnaupeleka kwenye ushirikina zaidi.
kama siyo wewe, wajukuu wako watakuta madhara ya huyu mtu. Tpambane na wewe uwemo pia...Kwanini sasa usipambane wewe mwenyewe na mbaya wako kuliko kutaka tukose wote hadi ambao hatuhusiki na kuwapoteza hao wawakilishi wako,hasa ukizingatia idadi kubwa ya wawakilishi wako wameamua wenyewe kuungana na mbaya wako.