Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona
Tatizo ni ku'define' "Janga la Kitaifa"
Huu ndio mtizamo wangu na ukitaka ufafanuzi nitatafuta nafasi nifafanue.

Hii 'issue' ya uzalendo ndipo panapoanzia kuwekana usingizi.
Wengine huona 'uzalendo' kwa mtizamo wa manufaa kwao tu na sio lazima kwa manufaa ya taifa.

Niseme tu kiufupi - kuna unafiki mwingi unaoambatana na matumizi mabaya ya maneno haya: uzalendo; manufaa ya taifa, n.k.

Mimi nakataa unafiki. Kama unasimama na mama Tanzania, simama naye kweli kweli.
Ngoja niachie hapa.

Siungi mkono hoja yoyote inayoiombea Tanzania majanga kwa aina yoyote. Tutatafuta njia zetu wenyewe kuyaondoa yanayotusononesha mioyo yetu kwa njia zetu wenyewe.
 
Mkuu P, huyo jamaa ameeleweka, wewe ndiyo hujamuelewa. Iko hivi, huyu jamaa kaangalia alternatives zote za nini kifanyike kupunguza kero ambayo inaendelea kumkumba.

Aidha wafe wao au yeye au sote. Hiki ni kiwango cha juu sana cha hasira inayoambatana na kukata tamaa ya maisha.

This is more than serious, na kimsingi hayuko sahihi na wewe hauko sahihi pia!
 
Hahahaa! Mimi nakuombea tu upate huo uteuzi unaoutafuta, brother. I know this thread is not about "Technically". Ni juhudi zako pekee na halali na za kisheria kabisa za kutafuta ugali wa kudumu serikalini, baada ya ile biashara yetu iliyokuwa inalipa kodi ya pango sawa na mshahara wa DC kwenda kombo.

I sincerely pray that you get noticed and appointed. Kwasababu honestly (and, yes, I mean honestly) unafaa kuliko wachache ninaowajua ambao ni mawaziri na wabunge. Keep the good work brother! Tupo pamoja ktk hii safari ya kusaka tonge.
 
Mkuu Paskali, binafsi hapo sijaona maombi zaidi ya maoni ya kawaida kabisa. Na alicho kiandika technically ni ameonyesha msukumo ambao wengi hapa unatutokea kwasababu ya chuki kwenye mambo kadhaa ama pengine kughafilika kwasababu ya matendo maovu ya watu ama kikundi flani kinachofanya udhalimu.
 
Turnkey,
Du!

Umekosea kitu kimoja tu, ningeshangilia pamoja nawe data zako hizi.

What is your source?

Surely you could not generate all this single handedly, could you?
 
Kwa uzembe ambao serikali yetu inafanya basi ni dhahiri wish ya technically ikawa granted.
Hadi sasa hivi serikali ilipaswa iwe imefunga mipaka yote. Hakuna kupokea mgeni kutoka sehemu yoyote ile. Serikali imefanya partial ban kwa raia wa India na kuacha mataifa mengine waje..

Huu ni ujuha wa kiwango cha juu kabisa kuthamini pesa kuliko maisha ya watanzania. Marekani ambao tunawaita mabeberu wamesitisha safari, ligi ya kikapu (NBA) ambayo inaingiza mabillion kwenye uchumi wake, NFL, movie theaters zote zimefungwa.

Serikali iache uzembe kwenye hili.

Tuchukue tahadhari
 
Mbona tayari tunaongozwa na kiongozi mharibifu kama corona tu!

Ubaya wa corona ni kuua, kutesa watu kwa maumivu, kuleta hasara mbalimbali kiuchumi, kijamii n.k...

Yote haya tunayo, ungesema hivi... jamaa angetuonea huruma anatuombeaje corona nyingine wakati hii inatumaliza pia!!!??,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Corona tuliyonayo tatizo inachagua, wacha ije ya mchina hiyo haichagui chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom