Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Umewah kuingia kikao fulani hasa hivi vya watu wa nje ukakuta wanaongelea topic fulani very serious na wewe ukakaa mle kama bogi tu huelewi. Ndio mada hii ya leo sasa
😁😁
 
Sasa mimi namuuliza"Wewe umezifahamu habari za watu waliokuwa wanabishana ndani ya gari: ina maana wewe ulikuwepo ndani ya hiyo gari?"

Namuuliza wewe umedhulumiwa hela kwa kazi ya kumdhuru mtu,kwani wewe ulifanya kazi gani? Au wewe ulikuwa mpiga picha tu?

Namuuliza lakini,so far,he is quiet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…