Kotokujua jambo au kuwa na maarifa hasa ya taaluma fulani sio ujinga. Ujinga unahusiana zaidi unavyo interact(unavyoingiliana) na jamii iliyokuzunguka pamoja na mazingira kwa ujumla.Mtoa maada hajataja ujinga kwenye eneo Specific, Amejenga hoja kupitia neno ujinga kiujumla.
Ujinga ni kutokujua au kutokuwa na maarifa katika maeneo fulani.
Kama umefanikiwa katika eneo fulani inamaanisha ulipata maarifa kwenye eneo hilo ukaondoa ujinga then ukachukua hatua, ukafanikiwa.
Hayo matendo ya udhulumaji, uuaji na utapeli baada ya wewe kufanikiwa ni sahihi kabisa, si matendo ya kiungwana.
Mafanikio ya kweli ni kuuondoa ujinga huku ukitenda matendo ya busara katika jamii.
Kama hiyo ndio tafsiri yake,basi kubali kua kila mtu ana ujinga wake kwenye eneo fulani.Ujinga ni jambo la ujumla(general).
Yaah! Huko kutokujua ndiyo maana ya Ujinga wenyewe.Hapana, unachanganya mambo. Kotokujua jambo fulani hasa linalohusiana na taaluma sio ujinga au kuwa mjinga, ni kwamba hujui tu hilo jambo.
Kama ni hivi mkuu ina maana kuwa intelligent sana katika nchi zetu hizi ni kama laana/mkosi fulani?!Less intelligence, more success..
Kwa sababu intelligence inafanya analysis lakini pia ina purpose kubwa zaidi ya pesa.
Huu ndio uhalisia kwa sababu nchi zetu hizi hazina systems kali za watu wenye ubunifu au ugunduzi kuwa matajiri zaidi ya watu wanaoweza kuchukua risks, migodini, mashambani na kwenye uchuuzi.
Kwa hiyo kwa Tanzania hii naamini mtu ambaye ni less intelligent ambaye anaona pesa ndio end goal pekee pasipo kujifungamanisha na purpose au professional projections zozote.. Ana nafasi kubwa ya kutoboa
Hii uko sahihi, Kila mtu ni mjinga kwenye eneo fulani mpaka pale utakapopata elimu kuhusiana na jambo hilo.Kama unakubali kua mleta mada hajataja ujinga kwenye eneo specific basi unatakiwa ukubaliane na ujinga utakaotajwa kwenye maeneo mengine pia,
Ndio tunarudi kule kule kua kila mtu ana ujinga wake,nobody is perfect.
Je, usingeenda shule, ungekulia mazingira ambapo ni ngumu kupata Elimu kuhusiana na Maisha, Pesa na Mambo mengine uliyojifunza, Ungekua sio mjinga?Kotokujua jambo au kuwa na maarifa hasa ya taaluma fulani sio ujinga. Ujinga unahusiana zaidi unavyo interact(unavyoingiliana) na jamii iliyokuzunguka pamoja na mazingira kwa ujumla.
Kuna watu wanasoma mpaka chuo wanapata degree ila bado ni wajinga sana kuliko ambao hata hawajafika chuo kikuu.Hii uko sahihi, Kila mtu ni mjinga kwenye eneo fulani mpaka pale utakapopata elimu kuhusiana na jambo hilo.
Ndiyo maana kuna Shule, Zisingekuwepo shule na Taasisi zingine za elimu tungekua wajinga sana.
Kuyaelewa maisha sio lazima kwenda shule tu, ujinga pia unachangiwa na genes pamoja na mazingira yanayokuzunguka na jinsi umepata exposure nyingi za nje.Je, usingeenda shule, ungekulia mazingira ambapo ni ngumu kupata Elimu kuhusiana na Maisha, Pesa na Mambo mengine uliyojifunza, Ungekua sio mjinga?
Si kweli, Mtu msomi yuko vizuri sana kwenye eneo alilolisomea mfano Daktari aliyekaa darasani miaka 6 huwezi kumuita mjinga kwenye taaluma yake hiyo.Kuna watu wanasoma mpaka chuo wanapata degree ila bado ni wajinga sana kuliko ambao hata hawajafika chuo kikuu.
Na hapo ndio utaona utofauti wa education and intelligence,Kuna watu wanasoma mpaka chuo wanapata degree ila bado ni wajinga sana kuliko ambao hata hawajafika chuo kikuu.
Sana, kwanza utateseka sana kwa kuwa na ufahamu wa vitu vinavyoendelea nchini na kikubwa zaidi ile hali ya kutaka vitu viwe organized au fair kwako au hata kusimamia principles binafsi dhidi ya uchawa au unethical behaviours zinazofanya watu wafanikiwe, lazma uchelewe au ufe umaskini kwa sababu utatumika tu kutajirisha wengine..Kama ni hivi mkuu ina maana kuwa intelligent sana katika nchi zetu hizi ni kama laana/mkosi fulani?!
Nakubakiana na wewe 100%Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Exactly, kuna watu mitaani ukiongea nao unajua kabisa hiki ni kichwa lakini hakikupata supportive environment ya kuweka intelligence yake darasani. Na kuna wengine tu, kafika chuo kwa sababu alipata supportive environmentNa hapo ndio utaona utofauti wa education and intelligence,
Mwenye elimu ni yule ambaye amejifunza kutoka kwa wengine, ambapo mwenye akili anaweza kuchukua kile alichofundishwa na kukitumia kwa ubunifu,Mtu mwenye elimu anaweza kuwa na ujuzi na mambo mengi ya hakika, lakini mtu mwenye akili anaweza kuyatumia katika njia mpya ili kupata masuluhisho ya matatizo,
Elimu imefocus kwenye memorization But true intelligence lies in learning from experience,solving problems and apply knowledge,
So,elimu sio tu unaipata kwa kukaa darasani,kuna Formal education na Informal education.
Ngumu sana kukuelewa, maana hata hiyo common sense ni utata tu, au unamaanisha mtu ambaye hajui kusoma wala hesabu na akifundishwa hataelewa? Ambaye huyu atakuwa mlemavu wa akiliMtu ambaye ana uelewa duni sana wa mambo mengi na ya msingi maisha, ambaye kiwango cha common sense kwake ni kidogo, uwezo mdogo wa fikra tunduizi.
Kila mtu ni mjinga.Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Kuna jamaa mmoja wa kutokea mkoani kigoma niliwahi kuconnect nae baada ya kukutana katika mambo ya biashara, hakuwa jamaa mwenye exposure ya mambo mengi sana kwani hata mkikaa mkimaliza stori za kibiashara hamuwezi kuwa na vitu vingine vya kuongea labda kwenye mpira ligi ya ndani pekee (kwa maana ni shabiki wa utopolo lialia).Mtu ambaye ana uelewa duni sana wa mambo mengi na ya msingi maisha, ambaye kiwango cha common sense kwake ni kidogo, uwezo mdogo wa fikra tunduizi.