Zanzibar
Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini Zanzibar na kufanya uharibifu wa mali kwa kushambulia sanamu zilizopo kanisani.
Lugha sahihi kwa kufuatana na waraka Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatikano yaani (Concilium Oecumenicum Vaticanum Secundum) sanamu hizi hutambulika kama sanaa takatifu kwa usahihi wa lugha iliyopo katika waraka mtaguso wa pili wa Vatican. Dulia Hyperdulia Latria maneno matatu ya lugha ya ki Latin.
These expressions (more like “levels of veneration”) are traditionally known (in the original Greek) as dulia, proskynesis, hyperdulia, and latria. It should be noted that Christian theologians have long reserved the last term, latria, for the type of worship due to God alone.
Baada ya kufanya uharibifu huo alikamatwa na kukaguliwa begi lake kukutwa vitambulsho ikiwemo cha Taasisi ya Kupambana na Rushwa
Zanzibar Anti-Corruption and Economic Crimes Authority (ZAECA) . Alikuwa anapiga kelele amerogwa na kuonesha kama ana matatizo ya akili.
View: https://m.youtube.com/watch?v=wJoePo8x-Ag
UMUHIMU WA SANAA TAKATIFU
Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatikano yaani (Concilium Oecumenicum Vaticanum Secundum) uliodumu kuanzia manmo mwaka 1962 hadi 1965 chini ya Mtakatifu Papa Paulo wa VI unaelezea pia masuala ya umuhimu wa lugha sahihi kuhusu nakshi, rangi, ishara na sanaa takatifu.
Nakshi au rangi ni ishara zinazoonekana kwa macho na zina umuhimu sana katika kila nyanja ya maisha, matukio na shughuli za kila siku za mwanadamu. Katika dhana nzima ya kuhudumu kwetu mbele ya Mwenyezi Mungu yaani kumwabudu, kumsifu, kumtukuza na kumshukuru, nakshi na rangi katika liturujia au adhimisho zinakuwa pia ni sehemu ya lazima ya tukio hili. Liturujia ya kanisa Katoliki tokea zama zake za awali imetumia nakshi, rangi, michoro, sanamu (sanaa takatifu) kama moja ya ishara, alama, vioneshi vya uzuri na utambulisho wa liturujia katika nyakati na matukio mabalimbali ya kiimani na kiibada yanayo adhimishwa.
Kanisa la minara miwili linapatikana mjini Zanzibar na ni kati ya vivutio vya kitalii vya mji huo. Liko Baghani Are lakini ni vigumu kufikiwa kati ya njia ndogo za mji mkongwre ngawa
minara yake
pacha inaonekana vizuri kwa mbali.
Tangu lijengwe limekuwa likitumiwa na jamii ya waumini Wakikatoliki mjini Zanzibar ambapo hadi leo misa kadhaa hufanyika siku za
jumapili mbali na zile za kila siku, kama ilivyo kawaida hasa ya makanisa makuu.