Yaani mtu badala atumie NGUVU alizo nazo kujitafutia kipato, anawaza Imani za wengine. Kwa ujumla aliyefanya hivyo ukute ni masikini tu, anatumwa Kwa mihemko ya kidini. Hapo sawa na kuinyooshea kidole familia ya mtu mwingine kwamba Kwanini wanakula ugali badala ya wali.Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi.
Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi.
View attachment 2907034View attachment 2907035View attachment 2907036
Anyway, Kanisa katoliki ni IMARA sana, hapo kajisumbua tu.